Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,489
1. Rashford Ana Goli 19, ukijumlisha na Timu ya Taifa ni Goli 25 tayari yupo on course ya goli 40 ama 50 msimu huu.Tammy Abraham kafikisha 15 goals with 0 penalties.
Uyu Rashid sasa dah....
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Rashford na Martial bado hatujaona potential yao ikikamilika, tupate sasa hivi mtu wa kutokea kulia, Aje Sancho ama mwengine wa Design hio,Ila nae solskajaer alifanya maamuzi magumu sana kumuamini martial na rashford pale zile timu za top 5 hamna anaeweza kufanya ukiangalia na mwenendo wa timu ulivyo chelsea wamelazimishwa kuikubali ile hali bila kufungiwa tusingeona haya mambo ya wakina mount kamuacha herrera kamuamini scott
Tammy Abraham kafikisha 15 goals with 0 penalties.
Uyu Rashid sasa dah....
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Tammy Abraham kafikisha 15 goals with 0 penalties.
Uyu Rashid sasa dah....
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.Naanza kuogopa kuhusu Daniel James
Je,ni mchezaji ambaye anaonekana kwenye style fulani tu ya kiuchezaji au?? i.e wakati wa counter attack
Au timu mbovu ndo inamfanya awe hivi??(kama wengi tunavyopenda kumtetea mchezaji tunayempenda)
Au ni kocha kushindwa kumfanya mchezaji awe bora siku hadi siku??
Endelea kuota. Kumfunga Norwich tena ukiwa kwako kumeshakupa kichwa enh?
Kuna siku nililisemea hili humu,kuna mdau akasema for the meantime James ni wa muhimu kuliko Rashford..Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.
Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,
Kuna siku nililisemea hili humu,kuna mdau akasema for the meantime James ni wa muhimu kuliko Rashford..
Ukiacha Sancho,mchezaji gani mwingine una-propose aje kwenye hiyo nafasi??
Kale kamama kanataka tusimpate Bruno, kwa sabb mziki utakuwa babukubwa na mnene. Kanaombea tuingue bila kiungo mbishimbishiNext week
Next week
Next week
Yatatokea maafa makubwa sana ANFIELD narudia tena maafa.
Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.
Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,
Hili la kuitaji squad kubwa tupo pa1, inatakiwa tuwe kama enzi za sir alex, kuwe na many options kulingana na mpinzani wetuMkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.
Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,
Dogo yuko poah sema pasi zake zinawahi kufika kabla ya wazembe, kingine anachezeshwa upande ambao ni tofauti na ule aliokuwa anatupa magoli.Naanza kuogopa kuhusu Daniel James
Je,ni mchezaji ambaye anaonekana kwenye style fulani tu ya kiuchezaji au?? i.e wakati wa counter attack
Au timu mbovu ndo inamfanya awe hivi??(kama wengi tunavyopenda kumtetea mchezaji tunayempenda)
Au ni kocha kushindwa kumfanya mchezaji awe bora siku hadi siku??
Endelea kuota. Kumfunga Norwich tena ukiwa kwako kumeshakupa kichwa enh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dan James hana potential ya kuwa key player, siku zote atakuwa ni squad player, mzuri kwenye counter na cross,ila timu zikipaki basi skills zake nyingi zinakuwa blocked pia.
Ndio maana tunahitaji squad kubwa ili kila mchezaji awe anaanza kutokana na aina ya mechi,
Ishu ya Bruno naona imezima,tokea jana hakuna updates zozote