mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Hata mim nshampoteza imani na huyu kocha, kama kina woodward wanampenda sana wampe cheo cha Director of footballOGS bhana, eti I'm not putting myself in front of cub's interests...... I'm not going to protect myself [emoji23], jamaa ni kama mwanasiasa flani
My theory, he is putting his interests ahead of the club's, kivipi?
OGS interest yake kubwa ni kuendelea kuwepo pale Manchester, anajua endapo atanunua wachezaji na bado asipate matokeo yanayotegemewa atakuwa judged, kisha atatimuliwa mapema
Sasa ili asitimuliwe mapema, anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuilding, the future na blah... blah nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ingekuwa interest ya Ole ni kubaki Man u na si kwa Faida ya man U angetumia short term fixes (Kama Mou) badala ya Mc Tominay sasa hivi tungekuwa na Watu kama Matuidi pale kati,OGS bhana, eti I'm not putting myself in front of cub's interests...... I'm not going to protect myself [emoji23], jamaa ni kama mwanasiasa flani
My theory, he is putting his interests ahead of the club's, kivipi?
OGS interest yake kubwa ni kuendelea kuwepo pale Manchester, anajua endapo atanunua wachezaji na bado asipate matokeo yanayotegemewa atakuwa judged, kisha atatimuliwa mapema
Sasa ili asitimuliwe mapema, anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuilding, the future na blah... blah nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ingekuwa interest ya Ole ni kubaki Man u na si kwa Faida ya man U angetumia short term fixes (Kama Mou) badala ya Mc Tominay sasa hivi tungekuwa na Watu kama Matuidi pale kati,
Na mkuu ukitoa bias hata Kidogo kocha kweli anaelinda kibarua na si kwa faida ya Timu atasajili mchezaji pekee wa kushambulia kama Daniel james ili amsaidie kulinda kibarua?
Ndo kichaka chake hicho cha kujificha..The team is Young, Success is not a oneday thing,mara Rebuilding,mara kurudisha Identity..mwishoni atakuja kufukuzwa kama mbwa,OGS bhana, eti I'm not putting myself in front of cub's interests...... I'm not going to protect myself [emoji23], jamaa ni kama mwanasiasa flani
My theory, he is putting his interests ahead of the club's, kivipi?
OGS interest yake kubwa ni kuendelea kuwepo pale Manchester, anajua endapo atanunua wachezaji na bado asipate matokeo yanayotegemewa atakuwa judged, kisha atatimuliwa mapema
Sasa ili asitimuliwe mapema, anajificha kwenye kichaka kinachoitwa rebuilding, the future na blah... blah nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Very trueOle hatufai majibu yake yamekaa kisiasa afu hana misimamo kocha lazima ujipambanue nini unataka na nini hutaki
Sent using Jamii Forums mobile app
majeruhiiiiPukkkkkkkkkkkk
Tatizo la Ole hata hiyo building huoni kama angalau inafanyika. Timu haiwi bora kadiri siku zinavyoenda badala yake inarudi nyuma.Ndo kichaka chake hicho cha kujificha..The team is Young, Success is not a oneday thing,mara Rebuilding,mara kurudisha Identity..mwishoni atakuja kufukuzwa kama mbwa,
Mimi tokea Emery alivyoshusha kiwango cha Torreira, naamini hata baadhi ya wachezaji wa Man waliopo kocha anachangia viwango vyao kushuka.Hii timu sahizi haivutii mana hata akisajiliwa mchezaji Wa aina gani bado tunakuwa hatuna uhakika kama atatufaa au hatatufaa kutokana na uwezo Wa benchi la ufundi hasa mwalimu mkuu
simon stone amesema pia tuna negotiate na bruno hivyo kuna credibility this time.Habari za Bruno zimeishia wapi? Maana nilitegemea wakati wowote jamaa atakuwa mali ya united.
Kati ya timu zilizokuwa zinatakiwa kuwa zimekamilisha sajili walau 2 baada ya dirisha dogo kufunguliwa ni man utd kulingana na mahitaji yake makubwa,lakini ndio kwanza nao wanashauriana.
Akisajiliwa Bruno na akatokea kufanya vizuri itakua aibu kubwa sana kwa Ole maana alimuacha kisa sio zao la united na hana DNA za uingereza,ni kama jamaa hajui anataka nini ili spate matokeo.
Kwa hio unaamini pia lvg na mou ni vilaza?Mimi tokea Emery alivyoshusha kiwango cha Torreira, naamini hata baadhi ya wachezaji wa Man waliopo kocha anachangia viwango vyao kushuka.
Kwani Leicester wana wachezaji gani, beki wao si John Evans?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo bado lipo ww hulioni?majeruhiiii
Jana trending za bruno zilivuma sana leo naona kimya naanza kupatwa na wasiwasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora leo alivyofanya mabadiliko tuone what will happen, hapa tulikua tunasema kwann Ole hamchezeshi Mata, tuone leo
Golini angekaa S. Romelo tu