Ninazo 13.... Nakushangaa wewe unayesema sijafikisha 8….Tatizo unaweweseka sana
Duh......Huna historia ya maana, kwa hiyo kuleta historia ni kujikaangaa tu
Huna UCL, umepigwa 8, premier huna hata 8,sasa utajisifia historia gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una matatizo mkuu.....Nikusaidie trend ya ole hizo mech kufungwa sio rahisi kama unavyofikir arsenal kashinda mech ya tatu ambapo tulitoka kushinda mech mbili ole hajashinda mech 3 mfululizo ina maana kama arsenal ingekuwa mech yetu ya pili angetandikwa arsenal huwa anashinda mech mbili ya tatu kichapo inayofuata suluhu angalia hizo mambo kamfunga city na spurs alinusurika kufungwa na everton mech ya tatu kama leo atafungwa na wolves ina maana mech tatu zijazo anashinda amini nakwambia
Unafikir mm nategemea google na YouTube kama wewe... Ww fuatilia tu timu yako hujui kitu kuhusu timu za wengine.... Eti nakumbuka 2001 na ukiulizwa huo mpira uliangalizia wapi hujui.....Una degedege wewe, uliposema umewahi kuifunga United goli 8 ndio nilipokudharau
Ukakimbilia ukasema goli 6 bila reference nikaona hamna mtu hapa
Nikakupa changamoto ya makombe uliyochukua kwenye EPL ukakimbilia Google ndio unakuja sasa hivi
Hopeless kichwa maji kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huridhiki mkuu????kwani ulitakaje???yaani ina maana 2 haziwatoshi?Kichapo kitakatifu goli 2, duh kweli masikini akipata matako hulia mbwata
Sent using Jamii Forums mobile app
Na lenyewe si ni kombe tu.....Dunia haijaisha.... Muda upo bado...Huna UCL
Tangu uzaliwe
Kwahiyo ataendelea kuchekacheka huku timu ikiwa inagongwagongwa"Simjui Robin na Robin hanijui mimi, hana mamlaka na nguvu ya kunikebehi kwa namna anavyofikiria hiyo sio sawa, namna yangu ya utawala na misimamo yangu haiwezi kubadilika," amesema Ole Sendeka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna kocha pale..kocha kafungwa hlf anakenua meno yote nje!Tatizo la Manchester ndiyo lilikuwa la Arsenal, timu kukosa pattern ama system fulani ya mchezo. Matokeo yake wanacheza utumbo mpaka wachezaji wazuri wanaonekana wabovu. Ndio maana fundi kama Pogba anaonekana mbovu (ukiacha tabia zake binafsi)
Tatizo la kubwa United ni kocha. Hapo akija kocha mwenye falsafa utashangaa timu inabadilika na akina Freddy, Martial hao hao. Hao akina Pogba watanyooka tu ama sivyo hauzwi na benchi atakaa sana.
Sasa Ole anafungwa halafu anacheka kwenye interview, tupia lawama wachezaji kidogo wajue umechukizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huridhiki mkuu????kwani ulitakaje???yaani ina maana 2 haziwatoshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikir mm nategemea google na YouTube kama wewe... Ww fuatilia tu timu yako hujui kitu kuhusu timu za wengine.... Eti nakumbuka 2001 na ukiulizwa huo mpira uliangalizia wapi hujui.....
Siwaelewagi wasiojielewa"Mtoto wa watu" umeanza kuangalia mpira mwaka 2015, huwezi nielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mtoto wa watu" umeanza kuangalia mpira mwaka 2015, huwezi nielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sindano ishakuingia tayari....Nyie mashabiki wa arsenal mnaoweka kelele humu tulieni, hamuoni ndugu yenu Aaron kashika adabu.
Kushinda mechi moja kelele