Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna kipindi ulikuwa unazikwepa comments zangu, hongera kwa kuwa na positive mood kwa sasa Arsenane

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kukukwepa mzee....mimi mbona nipo poa sana,mara nyingi nikiona mtu ninayeargue nae kachemka namuacha apoe kwanza....maana najua athari zake....

Kama humu mtu anapanic na povu linatoka ,je live uso kwa uso inakuwaje???!
Si unaweza piga mtu ngumi mzee....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha 2001, nilivyokuchomeka 6, Yorke akitupia hat trick, Captain Keano, Solskjaer na Sherigham kila mmoja akitupia goli moja moja

Sema hicho kipigo huwa nakisahau sahau maana kuna kikubwa zaidi cha 8

Sent using Jamii Forums mobile app
1,1,2020.......yaani huu mwaka wa raha sana,

Nilifungua kwa kuliua jitu kwa CleanSheet safi...........

2020 ndio habari ya mujini usituletee history hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hajielewi, na hiyo mechi aliyotufunga 6 ukimuuliza, ilikuwa lini na waliofunga ni akina nani hajui, kwa sababu haipo

Yaani anabumba bumba tu, hana uelewa wawote wa mpira zaidi ya kubumba bumba ndio maana nilimdharau
Utaua bure huyu mtu ukiwa unakumbushia hizi zahma. Huko aliko atakuwa amejifungia chumbani kwanza alie weeee kisha ndo arudi tena kukomenti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe man u na arsenal hata kama ni za 1960's bado ni man u na arsenal... Ndo maana tunahifadhi rekodi... Mkileta vihistoria vyenu na ss tunaleta ya kwetu..
 
Huna historia ya maana, kwa hiyo kuleta historia ni kujikaangaa tu

Huna UCL, umepigwa 8, premier huna hata 8,sasa utajisifia historia gani
Wewe man u na arsenal hata kama ni za 1960's bado ni man u na arsenal... Ndo maana tunahifadhi rekodi... Mkileta vihistoria vyenu na ss tunaleta ya kwetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point mkuu usajili wa hizi timu zetu hovyo sana maana ukiangalia timu kama leicester city angalia usajili wao ni wa ki mpira zaidi ila sisi united ni jez tu kuuza bora hata chelsea
 
tatizo lenu mnaongea sanaa. kubalini kichapo kitakatifu mlichokipata. na bado mechi zingine ndio mtampa lawama ole sendekaView attachment 1311921

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikusaidie trend ya ole hizo mech kufungwa sio rahisi kama unavyofikir arsenal kashinda mech ya tatu ambapo tulitoka kushinda mech mbili ole hajashinda mech 3 mfululizo ina maana kama arsenal ingekuwa mech yetu ya pili angetandikwa arsenal huwa anashinda mech mbili ya tatu kichapo inayofuata suluhu angalia hizo mambo kamfunga city na spurs alinusurika kufungwa na everton mech ya tatu kama leo atafungwa na wolves ina maana mech tatu zijazo anashinda amini nakwambia
 

Tatizo la Manchester ndiyo lilikuwa la Arsenal, timu kukosa pattern ama system fulani ya mchezo. Matokeo yake wanacheza utumbo mpaka wachezaji wazuri wanaonekana wabovu. Ndio maana fundi kama Pogba anaonekana mbovu (ukiacha tabia zake binafsi)

Tatizo la kubwa United ni kocha. Hapo akija kocha mwenye falsafa utashangaa timu inabadilika na akina Freddy, Martial hao hao. Hao akina Pogba watanyooka tu ama sivyo hauzwi na benchi atakaa sana.

Sasa Ole anafungwa halafu anacheka kwenye interview, tupia lawama wachezaji kidogo wajue umechukizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point mkuu usajili wa hizi timu zetu hovyo sana maana ukiangalia timu kama leicester city angalia usajili wao ni wa ki mpira zaidi ila sisi united ni jez tu kuuza bora hata chelsea
Mkuu hao wachezaji wa Man sio wabovu kabisa, akina Freddy, Sanchez, Lukaku, Martial, Pogba, Shaw wana ubovu gani? Tatizo ni management nzima ya timu na kocha.

Hao akina Maddison wakija hapo United ghafla utashangaa wanakuwa wabovu . safari hii mabadiliko yaanzie kwenye management labda ndio tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…