Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We toka uujue mpira umewah kusikia hii timu haijafungwa? Sema jana ilikuwa ni siku ya vibonde hata aston villa na wataford walishinda huwa kwenye ligi inatokea hasa kwa timu zinazogombea kuto kushuka daraja mwenzio west ham katakata pia nne bila
Hahahaha bango ni kubwa




3points
2goals
Clean Sheet

Tukae humo.


Nyumbu ni NYUMBU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi hapo kwenye game ya man cty na man u epl mbona itakuwa 7 march Na sio 29 jan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba sokoni kwa gharama ya £ milion 150

Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya matatizo ya MUFC kwenye usajili na kutokuwa na kocha,Pogba anastahili kuuzwa tu. Kocha yeyote hata Ole akifukuzwa,hawezi kuja akajenga timu chini ya mchezaji kama Pogba. Anaonekana mjivuni sana na ataleta mtafaruku katika timu.

Mou alikuwa sahihi ila tukamuona mjinga,Pogba ni kiburi na mjivuni.

Piga bei, nunua viungo wawili wapiga kazi. Ila ajabu kwa hiki kitimu ni pale atapouzwa halafu pesa iwekwe mfukoni au waanze kutafuta wachezaji wa mia mbili kutoka west ham. 😂😂
 
Madison na Gealish ndio walengwa kwa dirisha hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…