Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili povu...mdau yeye ana furaha tu kuwa amukukunyuga jana basi.
Hayo mengine sidhani kama alikuwa anayahitaji sana

Sent using Jamii Forums mobile app
We toka uujue mpira umewah kusikia hii timu haijafungwa? Sema jana ilikuwa ni siku ya vibonde hata aston villa na wataford walishinda huwa kwenye ligi inatokea hasa kwa timu zinazogombea kuto kushuka daraja mwenzio west ham katakata pia nne bila
 
Hapa sipingani na ww huu ni uchafu hata norwich hachez huyu hana namba mi nahisi uchaw upo ulaya fikiria lukaku anapondwa kila uchwao hii takataka ipo tu had leo kazidiwa magoli na smalling na lindelof kwa mwaka 2019
Yaani hivi vitoto vya kiingereza ni majanga.... Siunaona hata huku kwetu Willock majanga matupu na wanawaamini, halafu wanaoumia ni mashabiki.... Kama mm Jana nilivyoona tu lineup nikapata confidence... Sio muda wa kubebana huu.., kama huna kiwango,second half ndo utaingia...
 
We toka uujue mpira umewah kusikia hii timu haijafungwa? Sema jana ilikuwa ni siku ya vibonde hata aston villa na wataford walishinda huwa kwenye ligi inatokea hasa kwa timu zinazogombea kuto kushuka daraja mwenzio west ham katakata pia nne bila
Mancity na Leicester vepeee
 
Halafu mbona anaanza kufanana na Mou!? Ha ha ha atatuumiza sana huyu mwalimu
 
5 na 6 mentality za arsenal bana
Sasa wewe nyumbu, ni mara moja tu umefanikiwa kumaliza juu ya Arsenal toka Sir.Alex kaondoka, afu unadharau namba 5 na 6 wakati ndio zako kila siku[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]

Hivi bado mnaotaga mafanikio ya Fergie[emoji1745], hayapo tena hayo, pambaneni na Ole gunnar tu [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…