yaani man utd tunataka utizame mbele,utangulie kidogo then tukukamate vizuri maungo tukushughulikie ile wazungu wanaita coming from behind(tena leo ni three times) huku uswahili kwetu tunaita chuma mboga!watatukoma mwaka huu na coming from behind!
Wazee wa mbeleko habari zenyuu.bhaaana
We r marchin on.... Catch us if you can :biggrin1:
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahah . .
Wataishia kutusindikiza tu.
kumbe nawe unafika huku? Ndo tumepiga kambi siku hizi Lol.. Za masiku? Rafikio Cantalisia kapotelea wapi?
Acha kushangilia "mashetani" weye shauri yako!
Huku huwa nafika sema mara nyingi nakuwa msomaji tu.
We ndo umezamia kabisa eeh?? Sikuoni kitaa siku hizi. Cantalisia naye kapotea kweli sijui mliambizana.
BTW, Man U ndo mpango mzima kaka . . . .hakunaga nyingine.