Manchester United (Red Devils) | Special Thread

James anatoa hizo pasi tunapofanya counter attack sanasana..kitu ambacho hatujakifanya sana tunapokutana na timu ndogo

Mchezaji inabidi usiwe na strength moja tu..

Hakuna asiyekubali kuwa James kuna vitu anavyo..ila sio lazima aanze kila mechi,kuna mechi tutahitaji aina nyingine ya uchezaji
 
Anyway muda utaongea tumpe muda D.James binafsi James ni muhimu kwa sasa kulilo Rashford japo naye Rashford ana mchango wake mkubwa.

James ndio mchezaji alie chezewa foul nyingi kwa sasa pale United hii inamaanisha ??

Usiku mwema.
 
Three points deserved kabisa

√Brandon Williams bado ni kinda na inexperienced lakini anatumia akili vizuri na pia anapandisha timu vizuri na hata pasi/krosi zake zinakuwa makini..sio kama Shaw yeye anapigapiga tu ilimradi..My MOTM..8/10

√Fred anaendelea kucheza vizuri..though his shootings are horrible..My Runner-up for My MOTM..7.5/10

√Rashford ni kama vile ni mbinafsi na pia papara nyingi..hivi Ole huwa hawakaripii hawa madogo??..maana anarudia kufanya kitu kimoja kimakosa again and again..5/10

√Martial ilibidi afunge kwenye ile counter..kama Burney wangerudisha,tungemlaumu sana..kuna chansi za kuua mechi inabidi mtu uzimalize fasta..6.5/10

√Mike Dean(ref) needs to be investigated for having signed with Burnley. What was that card on Williams??..shenzi kabisa huyu Mike Dean

√Burney michezaji ya hovyo tu,too physical,no any technique..Spurs alijipigia tano hapa

Next stop ni Emirates..GGMU
 
A win with a clean sheet,

"Mictommy out for three or four weeks"

January tunahitaji mid aise. Hata Kama ni kwa mkopo.

And nilikuwa najipa moyo kuwa game ya Arsenal, Ni moja ya zile big game tunazoshinda. Kuangalia table ni wa 11(game ishakuwa complicated)

Tunayo kazi hiyo trh 1/1/2020.GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…