Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba hayupo kabisa, Ole anajipanga dhidi ya Arsenal? Hii timu ya leo,ngoja tuone vibweka vya Ole.
 
Ole sijamwelewa kumpeleka Rashford pembeni na Martial kati. Kwa mawazo yangu Rashford angekuwa kati na Martial ni mzuri sana ikitokea pembeni.
 
Kisha huyu kocha ata achangamki ata Arteta mechi ya kwanza tu amechangamka na anaamasisha wachezaji yeye ana jikunyata kama ajiamini vile
 
Huyu Williams ni mzuri tatizo ana nguvu.
Mechi kama hizi ushindi lazima muwe na washambuliaji wenye nguvu na kuforce sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…