James ni muhimu sana kutiko Martial, Pereira na Rashford. Sema game ya leo inawaendea vizuri, hii first half Pereira katulia sana anacheza kwa umakini.

Hakuna kitu kama hicho..James amecheza vizuri kwenye hizi gemu kubwa..tofauti na hapo amecheza kawaida tu..ukisema James ni wa muhimu kushinda Rashford hapo unakuwa ni kama unamtukana Rashford