Na mim nilikua ivyo ivyo mkuu ila kwasasa results zozote poa tu, hapa namtania wife namweleza mapenzi yngu kwa manchester utd nimeyamishia kwake, anacheka
Sometym nashindwa ku'hashtag #OGSOUT# kutokana na aina ya wachezaj waliopo, too average, tuna kikundi cha wachezaji wengi ambao hawawezi kuingia ktk 1st eleven ya Leicester city