D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Kwa Lukaku na Sanchez tulisema hivi hivi wacha tusubiriDogo mzuri sana, baadhi ya watu wamekuwa wakimtaja kama the new Carrick, akiwemo Jose. Ana jicho la pasi.
Tukisajili midfielders huyu dogo apelekwe loan ili akomae
Kuna dogo mwenzake wanacheza naye U23 anaitwa Dylan Levit, naye ni mzuri sana na mipasi kama ya Scholes au Carrick
Kiufupi jana hakuwa na mambo mengi, ila alicheza mpira wa basics
Sent using Jamii Forums mobile app
Asidharaulike kivile huyu Haaland, anaweza kuja kua mchezaji mkubwa sana kwa pale united. Ni hiv hiv ronaldo ali-rise toke ureno, neymar na wengn weng ambao ni wachezaji wakubwa kwa sasa, ni kwa jinsi hii hii hadi wakatambulika.
Honestty, Mimi ni mmoja kati ya mashabiki wachache tunaoliona kosa kubwa sana tunaloenda kulifanya kumsajili Erling, ni kijana mdogo, ana kipaji na anaweza kuja kuwa mchezaji mzuri baadae. Ila sio wakati sahihi sana kwa sasa kuongeza mshambuliaji mwenye uzoefu mdogo na timu yenye pressure kubwa kama Manchester United, ukizingatia hata hawa waliopo hakuna mwenye uhakika wa kukupa goli 20 za ligi kuu kwa msimu.
Nitafurahi sana siku msimu ujao yaani 2020/2021 atakao anza kucheza kwa mara ya kwanza ukimalizika akani-prove kuwa I was wrong about him.
Timo Werner
Timo Werner
Asante kwa uchambuzi wakoConversion rate ya Timo Werner ni ya kawaida sana.
Kwangu mimi naona option mbili sokoni Piatek na Haaland kwanza kwa sababu zifuatazo.
1 conversion rate yao ni nzuri sana golini.
2 Wanafunga magoli ya aina nyingi wanatumia miguu yote miwili, wanafunga kwa header, wanafunga dead balls etc
3 Speed wote wanaspeed nzuri hivyo kwenye counter attack ni useful zaidi hasa ukizingatia cross za DJ wetu.
4 nguvu wana nguvu sana they are not vulnerable kwa defenders wanaweza kufanya battle za 1vs1, 1vs2 or 1vs3 na kuwa na madhara.
5 their movement with or without the ball ni nzuri sana na inasaidia kupata magoli mengi kwa timu.
6 their physical presence in the game inafaa sana hasa kwa ligi yenye physical battle kama epl.
Sisemi kuwa Timo Werner ni mbovu but my choice angekuwa hao niliowataja.
Sent using Jamii Forums mobile app