Shangaa kakikosi ketu kembamba sanaaa... Usiombe lindelof na Maguire wakapata ajali itakuwa mateso.Liverpool kuna mechi kibao wamecheza hovyo kushinda hata sisi lakini wakachukua point tatu..Why??..Ni kwa sababu wanadeadly finishers upfront ambao wana kiasi fulani cha consistency..Sisi tuna bishoo Martial anafunga goli moja october jingine november..
Tunahitaji tuwe na kikosi kipana..Wanaosema Haalland asisajiliwe kisa Greenwood yupo huu ni zaidi ya utani..Man City wana Aguero na bado wa Brazilian first choice straiker (G.Jesus)..Wana Mahrez +Bernado Silva kwenye nafasi moja..Wana Sane +Sterling kwenye nafasi moja..Tuacheni utani jamani..
Mateso zaidi ya mateso..mtu mzima Jones atarudi kucheza na Tuanzebe!!!..what a Joke??Shangaa kakikosi ketu kembamba sanaaa... Usiombe lindelof na Maguire wakapata ajali itakuwa mateso.
Liverpool kuna mechi kibao wamecheza hovyo kushinda hata sisi lakini wakachukua point tatu..Why??..Ni kwa sababu wanadeadly finishers upfront ambao wana kiasi fulani cha consistency..Sisi tuna bishoo Martial anafunga goli moja october jingine november..
Tunahitaji tuwe na kikosi kipana..Wanaosema Haalland asisajiliwe kisa Greenwood yupo huu ni zaidi ya utani..Man City wana Aguero na bado wana Brazilian first choice straiker (G.Jesus)..Wana Mahrez +Bernado Silva kwenye nafasi moja..Wana Sane +Sterling kwenye nafasi moja..Tuacheni utani jamani..
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani..kuwa jukumu la kufunga ni la kila mchezaji ndani ya uwanja..Fred amekuwa akipata mipira maeneo mazuri lakini mashuti yake yamekuwa ya hovyo..Maguire naye hivyohivyo..Lindelof juzi naye kapata mpira ndani ya box na kuna space lakini kashindwa kumalizaLiverpool mechi nyingi wamesaidiwa kushinda na idara zingine katika timu siyo striker tu.
1 game na Leceister walishinda kwa msaada wa midfield
2 kuna game walishinda magoli yote yakifungwa na Van Dijk
3 Mechi na Aston villa walishinda kwa magoli ya kutoka kwa Robertson na Sadio Mane.
4 Mechi na Man united walisawazisha kwa goli la Lallana Midfielder
Ukiangalia timu yetu idara ya ulinzi kama imefunga goli katika mechi zote tulizocheza hayazidi mawili goli la William's na Lindelof
Idara ya kiungo naangalia naona goli la Pereira na Mctominay, tofauti na hapo magoli yote yamefungwa na strikers wetu.
Siyo mechi zote striker anaweza kufunga kuna mechi zingine hautakuwa form hivyo idara zingine zinafill hilo gape.
Mpaka sasa striking force yetu imejitahidi sana kwanza kulingana na nafasi chache za kufunga magoli tunazotengeneza.
Mechi yetu na Everton tulitengeneza nafasi chache za kufunga lakini hatukuweza kuzitumia, lakini nafasi hizo nyingi walizipata ni midfielders na defenders baada ya strikers wetu kuwa marked sana.
Tusiligeuza jukumu la kufunga uwanjani kama ni la kwao pekee wachezaji wetu wa idara zingine lazima watambue wajibu wao wakufunga zinapopatikana nafasi pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mc cane, Kwa jinsi ulivyojibu hoja yangu nahisi umemfahamu Erling miezi mitatu iliyopita na kuangalia takwimu zake Wikipedia na YouTube sio mchezaji wa maana sana kama watu wanavyomkuza hapa. Kwa upande wa Mason umemfahamu pre-season, kama ulikua hufahamu huyu ndiye aliyefanya Romelu aruhusiwe kuondoka tactical team waliamini he was the best backup nyuma ya vilaza hawa wawili Marcus na Anthony sema wajinga wameliangusha bench la ufundi wame-deliver below target.
OGS alitarajia Mason angetambulishwa kikosini taratibu na sio kwa style hii anayokuja nayo ya kuwa kama mkombozi wa timu huwa ni rahisi kumpoteza moja kwa moja badala kumkuza sisemi haya kwa ssb anafunga hapana ila kumnunua Erling ni matumizi mabovu ya pesa. Kikosi chetu kina washambuliaji wanne Anthony(23), Marcus(22), Daniel(22) na Mason(18) kama unaangalia vizuri hapa hakuna mchezaji mzoefu hata mmoja kuna wachezaji unawanunua kuja kuwajenga wengine na sio kujaza watu wanaofanana uzoefu na uwezo. Na mtu yeyote anayeangalia beyond the smoke anaelewa nazungumzia nn hapa hata kibabu Fergie kilitumia sana hii mbinu wakina Wayne na Cristiano walijengwa nyuma ya Ruud, Ryan na Saha kwa vipindi tofauti tofauti na baadae akamleta Dimitar na mwisho kabisa akamleta Michael. Yote haya yaliwapa muda mwingi wa kujifunza kwa Wayne na Cristiano pasipo pressure walikuwa na watu wazoefu waliowasaidia kuwajenga. Chukulia mfano toka mwaka 2003 mpaka 2009 tungewakabidhi timu Wayne na Cristiano peke yao bila wazoefu kama unavyoshauri wewe tusingebeba kombe hata moja.
Kama tunataka mshambuliaji basi awe mzoefu sio mtu wa kuja kujaribiwa kama huyo Erling. Umezungumzia kuhusu kuuzika mchezaji yeyote yule yupo sokoni ni wewe tu unapeleka nn mezani, tena sisi tuna bahati sana tunaweza kutumia chambo ya Marcus au Anthony na pesa juu kumpata Harry Kane.

Acha utani..
PTER, YouTube videos huwa zinakupa best moves ktk mechi moja moja tu kwa hiyo ule muunganiko wake utakufanya kila mchezaji aonekane mzuri. Ubora wa mchezaji hupimwa unapomtizama kwa mechi nzima unagundua vingi sana juu yake asipokua na anapokua na mpira pamoja na movement zake kama mshambuliaji. Huyu Erling akienda Ujerumani au Italia atafanya vizuri sana, akija kwetu mtamkana huyu kabla hata jogoo hajawika yaani kabla msimu haujaisha. Nikimuangalia Erling ni Romelu mdogo kwa sehemu kubwa wanafanana uchezaji wao.

Huyo dogo ni version ya Lewandoski na siyo Romelu Lukaku.
Nisingeweza kukuletea a 90 minutes clip nimeangalia mechi ya Salzburg vs Genk, nikaangalia Salzburg vs Napoli, niliangalia pia mechi ya mwisho ya Salzburg vs Liverpool.
Huyu dogo speed yake huwezi kumlinganisha na Lukaku.
Conversion rate yake huwezi kumlinganisha na Lukaku katika clear chance tatu Lukaku anaweza asikupe goli ila huyu dogo siyo ajabu kukupa goli kila chance anayopata.
Physicality yake sidhani kama inaweza kuwa equated na Lukaku hata kidogo Lukaku ni mzito ila siyo stronger kama alivyo Lewandoski na hili dogo.
Huyu dogo anaweza kucheza kama target man, akacheza kama false namba 9, akacheza kutokea pembeni.
Nilisema pale juu kuwa wakicheza pamoja na Greenwood huenda Greenwood akafunga magoli mengi sana kwa sababu huyu dogo movement zake with or without the ball ni very tricky na siyo mchoyo kama alivyo Rashford au Martial.
Man united ilipambana kumpata Lewandoski tukashindwa kumpata version yake mpya iko kwa Haaland.
Kama atasajiliwa Man united nitaanza kuona Hat trick tena pale Man united baada ya miaka 7 iliyopita.
Ikiwa tu tutasajili namba kumi mzuri au Pogba akicheza nafasi hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishia kusoma uliposema nimemfahamu Greenwood kwenye pre season
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimfanyie hivyo mzee..[emoji3][emoji3]amemfahamu Greenwood kwenye Pre-season
Kuna siku nilikuwa Dodoma nacheki mechi bar akaingia Tuanzebe kama sub,shabiki wa United anakuambia hivi huyu tumemsajili kutokea wapi??
Yaani kuna mashabiki hawana ile background ya timu yao inavyoenda
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee huyu shabiki kweli dah nimecheka sana.Usimfanyie hivyo mzee..[emoji3][emoji3]amemfahamu Greenwood kwenye Pre-season