Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Tutafika tu wana GGM, Natamani nipate mtu aliyekuwepo miaka ya 1986-1992 wakati Ferguson anapitia kipindi kigumu kama cha sasa, atupe uzoefu wa kuyavumilia haya ya sasa, maana mashabiki wengi hawana uzoefu na hiki tunachokipitia. Mind you, tuliwahi kupitia hali hii miaka hiyo but muda ulikuja tukafaidi matunda ya uvumilivu wetu kwa kipindi cha miaka 26. So timu inajengwa tena kuja kutawala tena kwa miaka mingi. GGM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mechi 10 anascore mara moja pambaf sana..Tony Martial scores again
Akaze msuli zaidi
Small team mentality. Wazee wa kukamia mechi ngumu, wakikutana na wachovu chali.Hii wala si breaking News kwenu. Ngojeni mkutane na wakubwa mkaze alafu mkagawane na wale walio masikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo rashford na lingard takataka amna kitu apo ...zinakamia timu kubwa tu kama hazina akili ..uza nunua straika kaliba ya Tammy na wings zenye njaa kama pulisic enjoy mpira mzuri na magoli...
Uyo rashid atoboi goli 15nimesema
N.B: EPL tu..
Kila.la kheri Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Toffees wana new coach that's why wana Ari ya kupambana
Small team mentality. Wazee wa kukamia mechi ngumu, wakikutana na wachovu chali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u mlifunga city kwa hamasa ya OGS. Kile kiwango mlichocheza na city mngekiapply leo mngeshinda 4 moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio Jambo la msingi huwez kusema Small team mentality wakat hao small team hakuna ambae ameweza kupata matokeo kama yetu kwa big six teams.Mnaposema ni small team mentality huwa siwaelewagi kabisa
Embu nitajie timu nyingine "ambayo ni small team, yenye small team mentality" inayovuna points kwa wakubwa na kuzingua ikikutana na timu ndogo
Norwich, Westham, Watford, Villa, Burnley, New Castle......... List inaendelea
Haya niambieni kati ya hizo timu, ni nani anapata matokeo kwenye game kubwa na anazingua kwenye mechi ndogo
This is not about small team mentality, it's about our style of play and type of players we have, WHICH LARGELY DEPEND ON COUNTER ATTACKING FOOTBALL, WITH VERY LIMITED CREATIVE PLAYERS AND WITHOUT DEADLY STRKERS
Our only deadly striker is just warming the bench because he has few years compared to the starters
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio Jambo la msingi huwez kusema Small team mentality wakat hao small team hakuna ambae ameweza kupata matokeo kama yetu kwa big six teams.
Tunawafunga wakubwa wenzetu kwasababu huwa wanaopt kufunguka so inakua rahis sana kuwapiga counter attack wakichagizwa na front three yetu wote ni watu ambao wana kimbia sana so inakua rahis sana kuwin matches
Hizo team ndogo hazina huo muda kwa wao matokeo ya draw kwa manchester united ni muhimu sana kuliko kufunguka so hapo ndio OGS anatakiwa apafanyie kazi.
So far backline yetu sijaona kama ina tatzo ukiacha makosa madogo madogo ukicompare na last season kiungo cha Scot na Fred tayar combination imeshakaa sasa hv unaona Fred anazunguka uwanja mzima akiwa anakaba na kupeleka mpira mbele, This is where now unahitaji kuongeza winga mmoja plus number 10 moja inayonyumbulika hao wakina martial Rshford wakipata mtu ambae atakua anafanya kaz yao wanayoifanya sasa hv ya kuassist on each other tunaweza kuwakataa kwamba ndio hawa striker ambao hawafiki goli 10 kwa msimu they will score and score.
Tunahitaji kupata number 10 ambayo itamfanya Pogba asijihis kwamba yuko peke ake so alete maringo then winga moja kwa ajili ya kusaidiana na kina DJ na striker mmoja kama backup to incase wakiwa majeruhi au out of form sishauri sana kuhusu dogo Greenwood na wenzie tukiwafanya kama backup tutawafanya wacheze sana kwa presha wakat wanatakiwa kuzoea taratibu
Kwangu mim ningeanza na James Maddison then Bruno FredandesKuna options nyingi sana za namba ten zinatajwa Tajwa sana kama
1 Kai Harvetz
2 James Maddison
3 Bruno Fernandes
4 Saul Niguez.
5 Donny Van de Beek
Kati ya hao nani atafaa kuja united ?
Kwangu mimi first choice yangu atakuwa Donny Van de Beek then Bruno Fernandez Saul Niguez.
But I would rather prefer Paul Pogba to play that role kama hatauzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe arsenal nini mbona una hasira sana ..Small team mentality. Wazee wa kukamia mechi ngumu, wakikutana na wachovu chali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna options nyingi sana za namba ten zinatajwa Tajwa sana kama
1 Kai Harvetz
2 James Maddison
3 Bruno Fernandes
4 Saul Niguez.
5 Donny Van de Beek
Kati ya hao nani atafaa kuja united ?
Kwangu mimi first choice yangu atakuwa Donny Van de Beek then Bruno Fernandez Saul Niguez.
But I would rather prefer Paul Pogba to play that role kama hatauzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni sawa na kuwa na uwezo wa kung'oa watoto wa geti kali kisha wa uswazi wanatushinda hii hali itatusumbua sana
Donny ni Finisher mzuri kuliko Maddison na anakaba sana.Hapo naona Kai, Madison au Fernandez ndio wanaweza kutusaidia
Sijavutwa sana na stats za Saul kwenye assists au kufunga.
Pia, naona Don sio creative kivile
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo hichi kipindi najua ukuwepo umeadisiwa ..tuulize sisi kaka zako
Enewei hii Man United choka mbaya huwezi fananisha na ya 92 uko ..
Mimi King Of London & England siwezi kufungwa na Everton alafu ninyi vijakazi wa hapo Manchester ushinde
Timu yeyote iliyomfunga Chelsea lazima itawatoboa tu..
Kila la kheri Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app