Kutokufunga mechi moja hakuwezi kumfanya aonekane mbovu.
Haaland ni complete player tena goal poacher mzuri sana.
Yawezekana jana hakufanya kitu kutokana na ubora wa Liverpool ya jana.
Liverpool walimzuia Messi asifunge hapo Anfield na hakufurukuta je nae ni mbovu ?
Tumewaletea Ajax, Soulzbarg, Lile, Genk, Inter Milan, na wengine wa kushato ..iyo Europa hata robot fainali hamtoboi hakika..
Kila la kheri Chelsea
Ila sometime inakua kama kamari tu, LVG alituletea El Tiger Falcao, sidhan kama alifikisha hata goli tano full seasonTatizo la Watu wanaangalia ufungaji wa Ligi za mchangani ikisha wanaufananisha na EPL
Scouts 40, for a reasonView attachment 1288606
Tumewaletea Ajax, Soulzbarg, Lile, Genk, Inter Milan, na wengine wa kushato ..iyo Europa hata robot fainali hamtoboi hakika..
Kila la kheri Chelsea
Huyu dogo babaake si alishawahi kukipiga Man City???#mufc have decided they won't be going for Mario Mandzukic due to his lack of match sharpness. With Mandzukic no longer a target, United appear to be focusing their efforts on securing the signature of Erling Haaland.
Nani anaemjua huyu Erling Haaland??
Anhaa nilisahau..Walioenda Europa ni hao wengine isipokuwa Lille, Genk,
Hii Man u ya kuunga unga??!!!Kama nilikufunga wewe Chelsea , Totenham na team zingine kubwa za hadhi yako ...
Nitashindwa vipi kuzipakata Genk , Lile na Ajax....
Bring Em'
So tulibadili tukasema 15??? Tena za ligi tu..We unafanya nini humu?
Goli 15, zimekuondelea uhalali wa kuwemo humu
Umesahau Kama Huyo Ajax nilimchabanga Fainal ya Europa, magoal murua ya Mick na Paul Pogba.
Tangu Chelsea ikumbane na vipigo vya United akili zako bado hazijakaa sawa...