mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Kirusi kuondoka ngumu, Utd inam'value pound mil 100 - 120 na tuna mkataba nae,Yupo sema majeraha yamemwandama. After all kama kina Fred na McTominay wakiwa fit hana matumizi,.
Dirisha dogo Man united waachie pesa wamsajili Donny Van de Beek ni versatile aje acheze namba 10 kama kirusi ataondoka this january.
Tunategemea sana counter attack na mara nyingi timu ndogo hazishambulii moja kwa moja wanakua nyuma sanaUmeandika nondo za ukweli.
Ila hapo mwisho, sidhani kama United wanakamia mechi kubwa,
Nahisi timu inakosa mbinu za ku unlock defensive setups za timu ndogo.
Zile killer passes hazipo.
Kwenye hiyo blue sikujua Kama timu kama PSG, Real Madrid na Barcelona hawawezi kufikia dau la kirusi.Kirusi kuondoka ngumu, Utd inam'value pound mil 100 - 120 na tuna mkataba nae,
Hakuna timu inayofika ilo dau, la muhimu n kusajir attacking midfilder mkal mnyumbulifu ili agombee namba na kirusi
I mean hana thamani iyo ndio maana hakuna timu iliyoleta offer, kiufupi pale OT we lack of quality midfilder ndio maana tunamkuza sana kirusi na yeye kashafaham ilo anaturingia hatuna cha kumfanya, ebu aende bernabeu au catalunya kama ataleta ufala wake wa kupaka marangi nyweleKwenye hiyo blue sikujua Kama timu kama PSG, Real Madrid na Barcelona hawawezi kufikia dau la kirusi.
Ole hana tabia ya kukandia au kutumia lugha yenye ambiguity kwa wachezaji wake, napenda anavyo wakumbatia wachezaji wake kila baada ya game.
Angalia anavyomzungumzia pogba..inawezekana akamuuza bila hata kumtupia neno ovu. Hakumpenda fellain na Sanchez na lukalu sio kwa sabb hawajui,lkn kwa sabb ya ufaza, kama mafaza vile. Ole hamfanyii mtu kazi, anafanya kile anachikiamini
Ni muongeaji sio mlalamikaji. Ole hana stress hicho kinamfanya asipanic hovyo. Kingine ole hana komedy hata kidogo. Utani ule wa kawaidaaa sana. Ni kama Ferguson.
By so doing hata wachezaji wake hawana na hataki upuuz wa mazoea mabaya, pogba anapenda upuuuzi, anachezacheza lkn angekuwa na sura ya ole angekuwa mtu bora duniani
Phil Jones is on fire to collect Red card and score own goals, apart from useless facial expressions, that guy is good for nothing
Nimemcheki hapa kwenye gemu yao dhidi ya Liver..hajafanya kitu chochote exceptional cha mtu kushtuka..anafunga magoli ndio,,lakini ndo level tunazohitaji??#mufc have decided they won't be going for Mario Mandzukic due to his lack of match sharpness. With Mandzukic no longer a target, United appear to be focusing their efforts on securing the signature of Erling Haaland.
Nani anaemjua huyu Erling Haaland??
Nimemcheki hapa kwenye gemu yao dhidi ya Liver..hajafanya kitu chochote exceptional cha mtu kushtuka..anafunga magoli ndio,,lakini ndo level tunazohitaji??
Na naskia Scout team ya United imeenda tena uwanjani kumcheki
Anyway tunaweza kugamble tu
#mufc have decided they won't be going for Mario Mandzukic due to his lack of match sharpness. With Mandzukic no longer a target, United appear to be focusing their efforts on securing the signature of Erling Haaland.
Nani anaemjua huyu Erling Haaland??
Tatizo la Watu wanaangalia ufungaji wa Ligi za mchangani ikisha wanaufananisha na EPL
Nimemcheki hapa kwenye gemu yao dhidi ya Liver..hajafanya kitu chochote exceptional cha mtu kushtuka..anafunga magoli ndio,,lakini ndo level tunazohitaji??
Na naskia Scout team ya United imeenda tena uwanjani kumcheki
Anyway tunaweza kugamble tu
Hata Firimino pia hajafunga kwahiyo nae hamna kitu ?
Mechi z UEFA kacheza tano kafunga goli nane nazo ni za mchangani ?
Tumewaletea Ajax, Soulzbarg, Lile, Genk, Inter Milan, na wengine wa kushato ..iyo Europa hata robot fainali hamtoboi hakika..
Kila la kheri Chelsea
Kama nilikufunga wewe Chelsea , Totenham na team zingine kubwa za hadhi yako ...Tumewaletea Ajax, Soulzbarg, Lile, Genk, Inter Milan, na wengine wa kushato ..iyo Europa hata robot fainali hamtoboi hakika..
Kila la kheri Chelsea
Nimemcheki hapa kwenye gemu yao dhidi ya Liver..hajafanya kitu chochote exceptional cha mtu kushtuka..anafunga magoli ndio,,lakini ndo level tunazohitaji??
Na naskia Scout team ya United imeenda tena uwanjani kumcheki
Anyway tunaweza kugamble tu