Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kufungwa na hizo timu haina maana kuwa ndo wapinzani wetu kwa hatuna tunachogombania nao. Man Utd inagombania ubingwa wakati hizo timu including u mnagombania top four position na si ubingwa
 
Kufungwa na hizo timu haina maana kuwa ndo wapinzani wetu kwa hatuna tunachogombania nao. Man Utd inagombania ubingwa wakati hizo timu including u mnagombania top four position na si ubingwa

Buon Natale mfarisayo
 
Last edited by a moderator:
Naona Newcastle wameshika kiungo!!
Go Go Go.....newcastle!!
 
Ferg anapenda kucheza kamari Schools na Chicharito hawafai kucheza first eleven
 
Naona Newcastle wameshika kiungo!!
Go Go Go.....newcastle!!

Ndo muda wao wa kushika kiungo, kama watashindwa kushika kiungo wakati Schools yupo basi watarajie maumivu akiingia Cleverly au Fletcher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…