Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MAN U 2metisha yani kwa wale ambao hawa2pendi msimu huu WATAFURAHISWA, RVP anatisha sana!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Attachments

  • b524d83f5673b711e03c2e8d81c865f4.jpg
    49.3 KB · Views: 32
  • 4fef7f30621d121afa80b0368f389cf8.jpg
    29.1 KB · Views: 33
  • 910e88108ea5850d09903c077497aebb.jpg
    27.2 KB · Views: 33
Kuna dalili kubwa hatimaye RVP kubeba EPL msimu huu
 
Attachments

  • d7e318e99839a2eaa5a7c34b6c6781c5.jpg
    60.3 KB · Views: 31
  • b1c208bfafcbeb1632b86e690f36dc5e.jpg
    24.5 KB · Views: 32
  • a7b07727c9dfff66d9ebce3eae71a0bc.jpg
    39.5 KB · Views: 30
Kuna dalili kubwa hatimaye RVP kubeba EPL msimu huu

EPL huwa ubingwa hauchukuliwi Dec .. .. ... mark my words khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbuka mwaka jana ubingwa mlinyang'anywa
in the last 5 minutes .. ..hadi leo
Equilllllpzzzzzzzzzzzzz yupo ICU khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wewe mzee wa kulialia wewe pigania upate nafasi ya champs league,last season tulifungwa game zote na City.Kwenye EPL mshindani wetu mkubwa ni Mancity so kumfunga kuna advantage sana
 
Wewe mzee wa kulialia wewe pigania upate nafasi ya champs league,last season tulifungwa game zote na City.Kwenye EPL mshindani wetu mkubwa ni Mancity so kumfunga kuna advantage sana

Keep on dreaming, kama chie tunalialia nyinyi mnafanya nini? Tunawachubiri Emirates wakati wachezaji wetu wote nyota watakuwa uwanjani, nyinyi baraka ya kubebwa na mbeleko tu hamtubabaishi, tena mwaka huu mmejitahidi kuingia kwenye knock out stagrs za CL mlizoea channel 5 kama Chelsick khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee .. ... .. .ati unakuja saa hizi wakati mpira umekwisha ulikuwa na ugonjwa wa moyo wewe nenda kapime haraka .. ... ..
 
Gervinho,Walcot,Diaby,Arshavin ndio wachezaji nyota???
 
Hata Judas mlikuwa mnamkandia hivyo hivyo alipowafuata mashoga chacha kono mbele what a waste .. .. .khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee one man team khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

kaka ukiwa mshabiki lazima uwe kigeugeu hata wamasajili messi sita hazikaa zirudi..
 
kaka ukiwa mshabiki lazima uwe kigeugeu hata wamasajili messi sita hazikaa zirudi..

Ha..ha..ha hayo maneno tu leo tumewatandika ndani ya Etihad kuna siku mtajilengesha Old trafford mtaoga za kutosha.Unbeaten run ndio imefikia ukingoni, Wacha1 maneno meeengi hebu weka mkakati wa kurudisha goli nane kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi

mi bado na imani tutashinda gemu ya marudiano hapo old trashford maana takwimu zinaonesha tumefungwa hii inayokuja lazima man akae utake usitake we are champion..
 
Last edited by a moderator:
Hatuko interested na goli 6 sisi tunataka kombe,as long Mancini anaendelea kuwa kocha wenu ubingwa ni wetu na hata Uropa mshatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…