D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
zile mbio zake anapaswa awe anaingia ndani ya box mara kwa mara.Juzi DJ kawakimbiza Hungary hawana hamu, kocha wa Hungary anamfananisha na Mbape
dawa yake ni kumtafuta mshambuliaji mwengine ili upande ule wa kushoto apambane na yule mvivu martial.Rashy atokee pembeni kushoto, utamtaka. Lakini bado anapaswa kufanya kazi ya ziada kwenye finishing zake (kwenye nafasi za wazi, maana huwa anafunga nafasi ngumu)
Naona sehemu pekee ya Mourinho kufanya usajili kwenye defenders kwa sababu ndiyo eneo pekee Tottenham inawachezaji wachache
Ukiondoa Davison Sanchez, Toby na Jan Vertongen nani mwingine ambaye ni central defender kwa Totenham ?
habari nzuri sana, kama itakuja offer japo ya paundi millioni 7 basi klabu isisite kumuuza phil jones.
bado sijaelewa dhumuni kuu la OLE kumpa mkataba wa miaka 3.
zile mbio zake anapaswa awe anaingia ndani ya box mara kwa mara.
tupate mapenalty teleeeeeee ili Ollachuga Oc azidi kugeuza masharti ya rashford
dawa yake ni kumtafuta mshambuliaji mwengine ili upande ule wa kushoto apambane na yule mvivu martial.
Nafikiri DJ akicheza kushoto anakuwa lethal zaidi kuliko kucheza kulia, lakini kutokana kuwa na wachezaji wengi ambao ni left wing imelazimika acheze kulia.zile mbio zake anapaswa awe anaingia ndani ya box mara kwa mara.
tupate mapenalty teleeeeeee ili Ollachuga Oc azidi kugeuza masharti ya rashford
Halafu Tobby na Jan wapo kwenye 30's na mikataba yao inaisha msimu huu
Kuna sehemu nimesoma, wanamkejeli Jose
Eti, Akiwa United aligombana na Ed ili amlete Tobby United, lakini eti alivyoenda Spurs atemcehezesha Ndombele kama beki wa kati na kumwacha Tobby benchi
hata mimi nimeliona hilo pindi anapocheza upande wa kushoto anakuwa hatari zaidi, lakini tatizo linakuja kwa wale wanadamu wawili tulioweka mategemeo yote kwenye mabega yao msimu huu.Nafikiri DJ akicheza kushoto anakuwa lethal zaidi kuliko kucheza kulia, lakini kutokana kuwa na wachezaji wengi ambao ni left wing imelazimika acheze kulia.
Akicheza kushoto kwa sababu yeye ni Right feeter anakuwa na option nyingi zaidi za kucheza mpira na kufunga far post au near post au apige cross.
ujio wa pogba umuondoe andreas perreira na si fred.Taarifa nzuri ni kwamba wachezaji sita waliokuwa na injury wote mamerejea uwanjani jana.
Rashford kamzidi uwezo Tammy Abraham??!!Marcus Rashford 11 games with 3 goals from open play
Tammy Abraham 12 games with 10 goals from Open Play Na mechi ya 12 bado haijaisha
Also not forgetting that Tammy is younger than Rashford
Aisee! Rashford mshahara wa hivyo maelezo yake vipi?
KiUmri wa Giroud wako rika moja na Tammy?Anzia kuhoji ndani ya Chelsea, akina Giroud, Batshuayi wanapewa mpunga mrefu zaidi, wana magoli mangapi ukiwalinganisha na Tamy
Vipi kuhusu Kane wa Spurs, Jesus wa City.....
Haya sasa, turudi kwa Rashy
ujio wa pogba umuondoe andreas perreira na si fred.
au perreira arudi namba 8 kama hamuhitaji fred, kuendelea kumtumia namba 8 paul pogba itakuwa ni kuendeleza ugonjwa ule ule tuliokwisha usahau
ujio wa pogba umuondoe andreas perreira na si fred.
au perreira arudi namba 8 kama hamuhitaji fred, kuendelea kumtumia namba 8 paul pogba itakuwa ni kuendeleza ugonjwa ule ule tuliokwisha usahau
Fred bado hajatulia ana wenge sana hatulii sehem moja uwanjani
kwa michuano ya ligi kuu mchezaji muhimu zaidi aliyerudi ni luke shaw.Pogba mpaka early December waliorudi ni
Timothy Fosu Mensah, Luke Shaw, Diogo Dalot, Axel Tuanzebe , Matic etc.
Basi nafasi ya Scot inabidi acheze Axel TuanzebePogba mpaka early December waliorudi ni
Timothy Fosu Mensah, Luke Shaw, Diogo Dalot, Axel Tuanzebe , Matic etc.
scott ameumia?Basi nafasi ya Scot inabidi acheze Axel Tuanzebe
Pogba mpaka early December waliorudi ni
Timothy Fosu Mensah, Luke Shaw, Diogo Dalot, Axel Tuanzebe , Matic etc.
Jipeni moyo,kuhusu mlinzi wa kati anaweza kumtumia hata eric dier kama timu itakumbana na tatizo la majeruhi kwa wachezaji wa kikosi cha kwanza. Nyakati zile alipokuwa real madrid au chelsea mara nyingi aliweza kucheza msimu mzima huku akitegemea walinzi watatu tu wa kati wenye uzoefu (ramos, pepe, carvalho, terry, del horno, varane akiwa bado kinda). Uzuri zaidi walinzi wote hao uliowataja hawana takwimu mbovu za kiafya kama ilivyo kwetu (marcos rojo, phil jones, eric bailly)
Ishu muhimu zaidi inayomsubiri mourinho kuitekeleza ni kupigania mikataba ya wachezaji wake muhimu kama nilivyoeleza comment iliopita kwa sababu jan vertoghen, toby arderweireld eriksen,na rose mikataba yao huenda inamalizika msimu huu (sina uhakika).
kwa bajeti ya usajili tulioizoea pale tottenham hotspurs halitokuwa jambo jepesi kiupande wake kupewa paundi millioni 100 au zaidi kwa lengo la kuziba mapengo ya wachezaji hao kama wataondoka wakiwa huru, kibaya zaidi jose mourinho si muumini mkubwa sana wa kupandisha young players kutoka academy na kuwapa nafasi ya kucheza kama alivyokuwa akifanya mauricio pochettino.