Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakiamua kuspend bigger kwenye usajili, hawatajuta.
kwa nini watumie fedha nyingi kufanya usajili haliyakuwa timu yao imejaza wachezaji wanaojiweza?
wanaopaswa kusajili zaidi ni manchester united na si tottenham hotspurs kama utafanya mlinganisho wa mchezaji mmoja mmoja.
kazi kubwa inayomsubiri jose mourinho ni kurudisha umoja na mshikamano ndani ya timu pamoja na kuzisimamia haki za wachezaji hususani kwenye ishu ya mikataba mipya inayoambatana na maslahi yalioboreshwa zaidi tofauti na sasa.

kufanya hivyo ndio kutapelekea wachezaji muhimu kama vile eriksen, harry kane, son, alderweireld, vertorghen waendelee kuichezea tottenham kwa miaka miwili au zaidi.

Top 4 inakwenda kuwa ngumu zaidi endapo jose mourinho atarudisha mentality ya ushindi iliopotea kwa zaidi ya miezi 8.

  1. Liverpool
  2. man city
  3. Chelsea
  4. Leicester city
  5. man utd
  6. arsenal
  7. Tottenham
hizo timu nilizoziwekea wino mwekundu zinapaswa zijitathmini kabla ya jua kuzama.
 
Just said the like
 
Red Devils boss Jose Mourinho has been involved in a furious training ground bust-up with one of the key members of his backroom coaching staff ahead of Thursday’s Europa League clash.
Manchester United manager Mourinho got involved in a row with his fitness coach Carlos Lalin and others had to intervene to separate the duo during Wednesday’s training session ahead of Thursday’s game.
The Portuguese manager and Lalin furiously shouted at each other – standing head to head at around 10.30 am at Man Utd’s Carrington base.
Things took an ugly turn between them and scout Ricardo Formosinho, who makes the checklist on opponents for Man Utd, had to intervene before things went no further.
Just after the heated exchange, Lalin rushed to his car and left the Carrington base, while the ‘Special One’ arranged the cones before the players took the training field.
Mourinho has earlier worked with Lalin during their time at Chelsea and Real Madrid and it is known to all and sundry that the Venezuelan is known to be his most trusted men, alongside other coaches Rui Faria and Silvino Louro.
During his time at Chelsea, Mourinho had heaped praise on Lalin for getting Diego Costa back in shape after he came back overweight right at the start of the last season.
Foromisinho also shares a good bond with the Portuguese and is now working under him for the third time, having previously chalking out strategies with him at Porto and Real Madrid.
Man Utd will now take on FC Rostov on Thursday in a Europa League last-16 second-leg clash and already having an away goal advantage over the first-leg game in Russia.










LATEST FOOTBALL NEWS


©2019. FootTheBall | From The Stable of Buffalo Soldiers

1



We'd like to show you notifications for the latest news and updates.



Read more: You are being redirected...
 
Naona sehemu pekee ya Mourinho kufanya usajili kwenye defenders kwa sababu ndiyo eneo pekee Tottenham inawachezaji wachache
Ukiondoa Davison Sanchez, Toby na Jan Vertongen nani mwingine ambaye ni central defender kwa Totenham ?
 
Juzi DJ kawakimbiza Hungary hawana hamu, kocha wa Hungary anamfananisha na Mbape

Rashy atokee pembeni kushoto, utamtaka. Lakini bado anapaswa kufanya kazi ya ziada kwenye finishing zake (kwenye nafasi za wazi, maana huwa anafunga nafasi ngumu)

Mkuu, Rojo bado ana mkataba wa miaka 2, kwa hiyo ni wetu sana. Kiukweli msimu huu amecheza vizuri
  • wakuu daniel james anataka kunidhalilisha.
  • marcus rashford amekuwa hatari sana pindi anapotokea pembeni.
  • marcos rojo anastahili mkataba kama ataendelea kuwa na afya njema.
 
Naona sehemu pekee ya Mourinho kufanya usajili kwenye defenders kwa sababu ndiyo eneo pekee Tottenham inawachezaji wachache
Ukiondoa Davison Sanchez, Toby na Jan Vertongen nani mwingine ambaye ni central defender kwa Totenham ?
kuhusu mlinzi wa kati anaweza kumtumia hata eric dier kama timu itakumbana na tatizo la majeruhi kwa wachezaji wa kikosi cha kwanza. Nyakati zile alipokuwa real madrid au chelsea mara nyingi aliweza kucheza msimu mzima huku akitegemea walinzi watatu tu wa kati wenye uzoefu (ramos, pepe, carvalho, terry, del horno, varane akiwa bado kinda). Uzuri zaidi walinzi wote hao uliowataja hawana takwimu mbovu za kiafya kama ilivyo kwetu (marcos rojo, phil jones, eric bailly)

Ishu muhimu zaidi inayomsubiri mourinho kuitekeleza ni kupigania mikataba ya wachezaji wake muhimu kama nilivyoeleza comment iliopita kwa sababu jan vertoghen, toby arderweireld eriksen,na rose mikataba yao huenda inamalizika msimu huu (sina uhakika).

kwa bajeti ya usajili tulioizoea pale tottenham hotspurs halitokuwa jambo jepesi kiupande wake kupewa paundi millioni 100 au zaidi kwa lengo la kuziba mapengo ya wachezaji hao kama wataondoka wakiwa huru, kibaya zaidi jose mourinho si muumini mkubwa sana wa kupandisha young players kutoka academy na kuwapa nafasi ya kucheza kama alivyokuwa akifanya mauricio pochettino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…