Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Basi kama in hivo tumuamini kirusi kwenye no 10 maana Fred na Scott wako serious sana siku hizi
Huyu Pereira naye anaumuhimu wake hasa kwenye set piece (kona) japo hatuzitumii vizuri maana hatuna mpiga kona mwingine mzur ukiondoa yeye na mata
 
Ndiyo maana najaribu kujiuliza Pogba akiwa fit nani atakaa bench kuna uwezekano mkubwa sana Fred akakaa bench na Pereira
Basi kama in hivo tumuamini kirusi kwenye no 10 maana Fred na Scott wako serious sana siku hizi
Huyu Pereira naye anaumuhimu wake hasa kwenye set piece (kona) japo hatuzitumii vizuri maana hatuna mpiga kona mwingine mzur ukiondoa yeye na mata
 
Basi kama in hivo tumuamini kirusi kwenye no 10 maana Fred na Scott wako serious sana siku hizi
Huyu Pereira naye anaumuhimu wake hasa kwenye set piece (kona) japo hatuzitumii vizuri maana hatuna mpiga kona mwingine mzur ukiondoa yeye na mata
Hivi Scott yupo fiti?
 
Match against Sheffield United itakuwa nzito sana..Wameruhusu goli tisa tu msimu huu

Na ndani ya mechi 60 za mwisho walizocheza,mechi walizofungwa walifungwa kwa idadi isiyozidi goli moja..

Inabidi tujipange vizuri jumapili..maana kila tukikutana na timu zinazokaa nyuma inakuwa shughuli kwelikweli kufurukuta..
 
Uzuri ni kwamba dean hatacheza, tunatakiwa tusiruhusu goal, ila wakituanza tu tutakuwa na hali ngumu sana.
 
Kwani game ya Liverpool haikuwa 2-1?

Au nimechanganya mafaili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…