Manchester United (Red Devils) | Special Thread

AGENDA ZA CHELSEA

1. Kupambana kubeba epl throphy
2. Kupambana kubeba UCL trophy

AGENDA ZA MAN U

1. Kuifunga Chelsea
2. Kuifunga Chelsea

Kulingana na Bango lako:-

√ Ajenda za Man United zimetimia kwa 100%

× Ajenda za Chelsea hazitotimia Kuwa 100%

Kwahiyo mumefeli kwasababu mumejipangia ajenda ambazo haziwezi kutekelezeka.
 
Yet Chelsea inazidi kuimarika defensively, sivyo ilivyoanza
 
Robo ya mechi 38 za ligi ishachezwa na Arsenal ambayo mashabiki wake wanalia kocha afukuzwe wapo chini ya Sheffield Utd wakishika nafasi ya 6.
Spurs wapo chini ya AFC Bournemouth, Brighton, Burnley, Palace na Newcastle. Na mashabiki wanaona Pochettino aondoke

Na once GG Man Utd nafasi ya 14 ipo chini ya Everton na hao wote waliotajwa hapo.
Maguire, James, Bisaka.

Kuifunga Chelsea, draw na Liverpool haina maana ikiwa wao wanagombea ubingwa na Man Utd ipo relegation battle

 
Trust me wana Mwalimu mzuri.Sisi hatuna mwalimu mzuri.
 
Kulingana na Bango lako:-

√ Ajenda za Man United zimetimia kwa 100%

× Ajenda za Chelsea hazitotimia Kuwa 100%

Kwahiyo mumefeli kwasababu mumejipangia ajenda ambazo haziwezi kutekelezeka.
Mbona unalazimisha sana kuwa na kipaji cha unabii nakati ulishachemka kitambo tu kuwa Chelsea itabakia kukaa nafasi ya 10 - 15 ktk msimamo wa EPL 2019/2020?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…