Jaman naomba wale wataalam wa ku-google wanipe updates za msimamo wa ligi kuu ya uk.
Nipo nacheki game... Wacha utampata kwenye uzi wa goners .. ndio home pale.. nasubiri muda tu
Manure wanaongoza "kwa muda" kwa point 31 na City 29 na game 1 mkononi itakayochezwa kesho
Nipo nacheki game... Wacha utampata kwenye uzi wa goners .. ndio home pale.. nasubiri muda tu
umejumlisha na point za mechi ya man u leo?
Manure mmeokota timu isiyo kuwa na manager basi mwafanya karamu.ya magoli
hehehehe! chelsea noma .. nimefurahi kuna picha flani daily mail wapepiga true legends wa manure!....
cole, york, cantona.. van de sar , na... mwengine nimsahau!
wale wenzangu wa QPR tujuane kabisa :A S soccer::cheer2:
Paul Scholes alivyoangushwa hapo, ingekuwa ni golini kwa QPR mchezaji ameangushwa hivyo na refa akapeta kama alivyofanya kwa Scholes, zingekuja theory za kubebwa.
Hapa mnasemaje?
Kumbe bado upo!?!
Wapi Wacha makelele??
usijali sana kuhusu kubebwa maana hata tukifungwa hua wanasema refa alitubeba ili tufungwe...
Glory....glory...Manchester United.
I never seet my foot in hear, but the propaganda about "happiness" have made me pay a rare visit!
Never expected you guys were that so "happy" that you need to come out of closet and expect acceptance!