Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ingebidi iwe hivi..wanatunyima burudani hawa watu..sema mimi nitakomaa na Timu yangu japo ni tiatia maji
 
Hiyo midfield ya kina Tominay, Fred na Pereira inatupa prospect nzuri huko mbeleni ili kuiturn lethal zaidi mwalimu anahitaji kuwajengea Confidence, na winning mentality.

Tatizo la Ole siyo mzuri sana katika in game management ambayo anaanza na approach nzuri lakini wenzake wakishamsoma wanaexplot weakness zake bila yeye kuwa na plan B.

Kuhusu Pogba uzuri wa Pogba anakupa uhakika wa kutengeneza nafasi za kufunga magoli nyingi kitu ambacho pereira anakimiss lakini ni kutokana na kutokuwa na uzoefu na jinsi timu inavyocheza inacheza too defensive.

Ukame wetu wa magoli unatokana na sisi kukosa watu wa kutumia weakness za wenzetu mathalani this season ukiondoa penalty hatujatumia dead balls kupata goli.
 
Uzuri wa hao vijana watatu wanaweza kucheza long balls

Pereira anajua kucheza dead balls ukiangalia game ya liverpool faulo mbili alizocheza zilivuka defence sema kujipanga kwetu kulitugharimu.

Kuna maamuzi kama mawili ya kitoto aliyafanya Pereira yalihitaji mwalimu ambwatukie lakini Ole alikuwa kukodoa macho.

Tumekuwa dhaifu sana kucheza second balls ambazo ni nzuri zaidi kuzifunga timu zinazopaki basi kama tunayokwenda kukutana nayo leo
 
Hizo ni facts tu mkuu, just relax
By the way hamna mlichotuzidi kwa sasa, Chelsea ni bora zaidi yenu. Mna mengi ya kujifunza kutoka kwetu
Huoni aibu kujilinganisha na baba yako? Nyie ndio wale watoto huambia wazazi wenu "ningewahi kuzaliwa ningekuzaa wewe"

Hebu chukua kwanza makombe 20 ya EPL ndio uje hapa kutuambia tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenu.

Tena usirudie kabisa kujilinganisha na sisi,utakula mikofi ya shingo humu,huna adabu!
 
Unajivunia historia wakati future yako huijui
Shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…