Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah
Ngoja tuone itakuwaje lakn ilikuwa option nzur sana acheze km kiungo toka msim ulivyooanza sema ole anafail
Nimehuzunika sana Tuanzebe kuumia katika warmup. Jamaa yuko makini sana, lakini kaingia Rojo badala yake nae huyu ni mgumu sio mbaya sana.
 
Mkuu hizi link zipo pia hadi sio vzur8.... Ubarikiwe
 
Kana PhD ya unafiki [emoji23][emoji23]
Awa liver kipindi cha kwanza wanaanzaga kazi kazi cha pili watapoteana tu ..tena vile hawana sub za maana

Amin kwamba leo Man u tunashinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji19] [emoji19] [emoji19] Hili jamaa hovyo kabisa ebu jaribu kuangalia alichokiandika.
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Leo sisi Man u tunashindaaaaaaa

Yule VVD ni uchochoro wa Dunia...

Come on Man united ..[emoji123][emoji123][emoji123]

Kila la kheri Liverpool[emoji173][emoji173][emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…