joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,848
- 39,501
Utajuta katika maisha yako yote yaliyobaki.....usifanye hilo kosa ..Ngoja leo nitembee na nyumbu double chance
Liverpool pumzi zimekata naleo wakijitahidi Sana wana droo.Liverpool timu, poga hawa manure 6 - 0 ili jumapili iwe swaaaaaaaafi kabisa
Kamba wewe umeridhika kuwa wa 5 si ndio?Liverpool timu, poga hawa manure 6 - 0 ili jumapili iwe swaaaaaaaafi kabisa
Atakaekuamini wewe ni sawa na kuziamini habar za kigogo wa twitaYeyote atakayeshinda leo kati ya liver na Man mimi nitampongeza ..ila kwa sasa niko upande wenu wakuu ..fanyeni kweli chinjeni zile kuku kwa chupa ..ningemshauri Ole amcheki Mourihno ampe mambinu ya kukaba zaidi na kushambulia kwa kishtukiza ..awa liver ni walaini sana wanafungika tu tena mna Bissaka apo back kwa nin Rashid asitambe. Niwaambie tu ukweli ..Man united ndo timu yeny ukuta mgumu zaidi EPL ..kama mkifanikiwa kumkamata Mane basi yule firminyo na salah amna kitu mule..apo kati niwekeeni mtu mzima Matic na Mctomarry Fred apande mbele kidogo ili kusukuma mashambulizi. Masho kama kawa auwe winga ya kushoto kule liver kuna lovren ivyo utakua uchochoro, lingard na rashid wakisimama apo mbele mbona Adrian/Allison ataomba pooapo sjamgusia Degea mikono buku hahaha ..yani naona leo liver akifa mbele yenu kabisa yule fabinyo keita amna kitu mule wanaruka ruka tu ..Dalot na Magwaya watawafanyia roho mbaya ..nipigieni izo Liverpool mapema tu within 20 minits muwe na at least goli mbili
Dah ichi nilichoandika apa naona kabisa kitakuwa ni kinyume chake
Kila la kheri Man united ..mkizingua nawakataa
Come on Man u
We jamaa ni mnafiki sana kule kwenye jukwaa letu la Liverpool unaiponda liva huku unaiponda man uHahahahahahahahahahahaha
Mimi nawasaidia nyinyi mpigwe mchakae ili hiko kirusi kiwaondoke mkuuKamba wewe umeridhika kuwa wa 5 si ndio?
Mkuu nimependa spirit yakoWapenzi wa dhati kabisa wa hili chama tutakuwa tunalisapoti kwa kuangalia kila game si kwa hii Tu Big Match zote sisi tupo tu
Na hatuombei mabaya kabisa timu haijalishi kama tunataka kocha atimuliwa au vinginevyo tunachotaka sisi ni ushindi tu mara nyingi tuwezavyo na kupambana kwa vijana wa United
GGMU
Yes We are UnitedWapenzi wa dhati kabisa wa hili chama tutakuwa tunalisapoti kwa kuangalia kila game si kwa hii Tu Big Match zote sisi tupo tu
Na hatuombei mabaya kabisa timu haijalishi kama tunataka kocha atimuliwa au vinginevyo tunachotaka sisi ni ushindi tu mara nyingi tuwezavyo na kupambana kwa vijana wa United
GGMU
Mnafiki haswa. Mfa maji.We jamaa ni mnafiki sana kule kwenye jukwaa letu la Liverpool unaiponda liva huku unaiponda man u