Kumbe de gea ni kipa bora? Ukitaka kujua unafiki wa mpira angalia kipind hiki akiwa fiti ooo shat kaumia mmekwisha nyie wanadamu lipi mnashika?De Gea..... Hahahahahahahahah kwisha habari yenu.......Kwishnei.
Tayr kashakosa kibarua.. abaki hukohuko mtaani!Max Allegri 'is very close to Man United with deal worth over £6.5m a season being discussed' as former Juventus boss plans to bring Emre Can and Mario Mandzukic with him https://t.co/3KfZ1EXTsz
Habari za uzushi tu hizoMassimiliano Allegri | Manager now ‘very close’ to Manchester United, report Tuttosport – ‘Concrete negotiation taking place’
https://t.co/iw7xzUDBHL #mufc
Mkuu hizo story tuMassimiliano Allegri | Manager now ‘very close’ to Manchester United, report Tuttosport – ‘Concrete negotiation taking place’
https://t.co/iw7xzUDBHL #mufc
Kakosa kwa misingi ipi?Tayr kashakosa kibarua.. abaki hukohuko mtaani!
Wamlete Mou..virusi viondoke vyote
kumfukuza kocha kwa sasa ni ngumu pia kumfunga liverpool ngumu pia labda kwa kuwa wanasema mpira unadunda tupo vibaya sanaIwapo Ole atashindwa kupata ushindi kwa Liverpool
Huenda tukamuona Max alegri OT
Je ni mtu sahihi hapo OT?
Ngoja Ole apewe kipigo na Liverpool namech ijayo azidi kukosa matokeo uone kama hizi habari si za kweli,Habari za uzushi tu hizo
4-3-3 naonaga ni mfumo mzur sanaKakosa kwa misingi ipi?
Huyu kocha man u wanamfukuzia kitambo tu,
Ana CV nzuri tu ,ni muumini wa 4-3-3 na 3-5-2
Ni tetes tu, lkn humtaki huyu jamaa ,mtaalamu wa 4-3-3 ?Mkuu hizo story tu
Akija Alegri ,pogba atafaidika nao4-3-3 naonaga ni mfumo mzur sana
binafsi napenda huo mfumo ila kocha sina imani nae sanaNi tetes tu, lkn humtaki huyu jamaa ,mtaalamu wa 4-3-3 ?
Mbona Mou mlimfukuza, kwa matokeo haya ya Ole , kufukuzwa ni rahisi sana, mechi na Liverpool itatoa picha nzurikumfukuza kocha kwa sasa ni ngumu pia kumfunga liverpool ngumu pia labda kwa kuwa wanasema mpira unadunda tupo vibaya sana
sijui kwa nini makocha wa hii timu wanashindwa kupambania huo mfumo ambao hata sir alex alikuwa akitumia na 4-4-2Akija Alegri ,pogba atafaidika nao
Alegri alifeli Ac Milan , lkn pale juve ana CV nzuri hata UCL kafika fainals mbilibinafsi napenda huo mfumo ila kocha sina imani nae sana
mourinho alikuwa akiongea sana yaani hadi wachezaj aliwafarakanisha ilifikia kipindi had bodi anaisema hadharani waajiri hawawez kukuacha ila timu ilikuwa mbovu kwa uhalisiaMbona Mou mlimfukuza, kwa matokeo haya ya Ole , kufukuzwa ni rahisi sana, mechi na Liverpool itatoa picha nzuri