Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole aliposema hana nia ya kupigania ubingwa nilimuona kiazi kweli hii ilikuwa justification kwa Woodward kumsajili average squad.

Kufundisha timu kubwa kama Manchester halafu ukawa na projection za timu ndogo kama Burnley kupungukiwa akili.
Inakera mkuu ila na subiri December atakua wapi nianze kumpima nacho shukuru mm bora madhaifu yameanza kuonekana mapma kuliko angeanza vizuri angejiona ana team nzuri kama msimu mlio upita afu akamaliza vibaya
 
Ole aliposema hana nia ya kupigania ubingwa nilimuona kiazi kweli hii ilikuwa justification kwa Woodward kumsajili average squad.

Kufundisha timu kubwa kama Manchester halafu ukawa na projection za timu ndogo kama Burnley kupungukiwa akili.
Inadaiwa wachezaji wameshapoteza imani na Ole na hawamsikilizi tena.

Ed pia inasemekana amekerwa na comment De Gea kuhusu timu.
 
Ed ndiyo anaididimiza chini Man united pamoja na kwamba kila timu hupitia magumu kama haya lakini kwa sasa kuirudisha kwenye mstari Man united itahitajika misimu isiyopungua mitano.

Sababu kubwa ni kwamba timu imeshapoteza winning mentality na kibaya zaidi epl imeendelea kuwa ngumu kila msimu sasa kuna timu karibu 10 ambazo hupati matokeo kirahisi tu na zote ni title contender au zinapigana kuingia top four au top six.

Timu nyingi za epl haziwaogopi man United tena na zikifunguka zinawafunga vizuri tu unaweza kuona crystal palace alivyorelax pale OT na Leceister naye hivyo hivyo.

Kupata timu ya kucompete kwenye ligi tunahitaji wacheza atleast 12 wengine wa ziada ili tuwe na strong squad, timu nzima wachezaji epl material hawazid watano, bench letu la ufundi nalo siyo man united material.

Tunasafari ndefu sana tena ya maumivu makali sana.
Inadaiwa wachezaji wameshapoteza imani na Ole na hawamsikilizi tena.

Ed pia inasemekana amekerwa na comment De Gea kuhusu timu.
 
Pamoja na kuwa timu kubwa zote zimepitia hali kama hii wenzetu madrid waliweza kujikwamua mapema na kurudi kwenye mstari baada ya golden generation yao kuisha in early 2000s

Ac Milan naye kaelekea shimoni lakini yeye ni kutokana na kufirisika kwa boss wao sisi tuna ukwasi wa kutosha lakini kikosi chenu kinazidiwa hata na Leceister city uimara!!

It pains
Inadaiwa wachezaji wameshapoteza imani na Ole na hawamsikilizi tena.

Ed pia inasemekana amekerwa na comment De Gea kuhusu timu.
 
Mkuu wala hata msijisumbue kututania😂😂 hatujali tena kwasasa. Tumeshajionea kawaida. Tulieni tu kwenye uzi zenu😂😂

Mtu pekee anayeweza kuikoa Man United hapo ilipo ni Klopp, Guardiola na Mourinho.

Still ninaamini Man United kumfukuza Mourinho ni katika Makosa makubwa sana kuwahi kuyafanya kwenye karne hii ya 21
 
Mtu pekee anayeweza kuikoa Man United hapo ilipo ni Klopp, Guardiola na Mourinho.

Still ninaamini Man United kumfukuza Mourinho ni katika Makosa makubwa sana kuwahi kuyafanya kwenye karne hii ya 21
kwenye list yako ungelimuongeza mzee wetu carlo ancelotti ingelipendeza zaidi.
tatizo lake ni mkimya sana jambo litakalompelekea azidi kusumbuliwa na ed woodward ila kwenye ufundi jamaa ni fundi sana
 
Inadaiwa wachezaji wameshapoteza imani na Ole na hawamsikilizi tena.

Ed pia inasemekana amekerwa na comment De Gea kuhusu timu.
Akereke tu mi nimefurahi kama mpaka wachezaji kama De gea kaongea basi hali ni tete sasa inashangaza mchezaji kaona hali mbaya kocha anasema tuko vizuri tunakaribia mafanikio
 
kwenye list yako ungelimuongeza mzee wetu carlo ancelotti ingelipendeza zaidi.
tatizo lake ni mkimya sana jambo litakalompelekea azidi kusumbuliwa na ed woodward ila kwenye ufundi jamaa ni fundi sana

Tatizo la Carlo Anceloti ni kuwa Anajenga Timu ya Kutamba Ulaya tu lakini kwenye Domestic Cups huwa poor sana.
Refer AC Milan ya 2003 to 2007 ambayo ilitamba Ulaya lakini Ndani ya Italy ilikuwa ya kawaida sana hata mbele ya Intermilan
 
Embu tuwe serious jamani

Kwenye eneo la kiungo ameondoka Fellaini,Herrera,Mata amechoka,Matic ameonyesha kuchoka toka msimu uliopita ulivyokuwa unamalizika,Fred tia maji..na kocha hafanyi replacement yoyote na anategemea atapigana vizuri tu kwenye EPL..hesabu gani hizi??

Lukaku ameuzwa,okay fine leta mashine nyingine kali itakayomzidi..kocha anampa majukumu Martial na Rashford..Wtf is this??..

Na mbona tukitanguliwa hatuonyeshi utofauti wowote na tulivyoanza mechi??..hakuna hata comeback yoyote ya maana ambayo tumeifanya tangu awe kocha wetu,,hii inaonyesha uwezo mdogo tactically wa huyu bwana..

United ilikuwa inapaswa kusukwa upya,lakini ni lazima kocha anayepewa hilo jukumu awe na uwezo wa juu kabisa,na si huyu bwana aliyeishusha Cardiff daraja..

Hii timu inanipa sana hasira..
 
Ndo uwa point yng kubwa nawaambia wadau humu.. Pa1 na team kua mbovu sawa hatukatai lkn kama mnatak kocha wa Kushuka kikosi sio huyu ambae Tactically hajui hata anafny nn na kwa wkt gn kwa kwnn afanye ivo ili mchezo uwe I their favour.. Mda fulan ukimuangalia OGS kwny bench unajua kbs sidhan kama kuna kocha anajua nn anakifanya..Eddy na jopo lake lote ni wa2 ambao hawako serious hata kdg wao hawajali kwa kua faida wanaendelea kupata nasema tena OGS mnapoteza tu mda hata wampe wachezaji world class 12 hawez kuijenga ile team ikawa na Philosophy ambayo inajulikana
MOu alikua ni moja kati ya m2 ambae angeweza transform ManUnited kubaki kwny ushindani sema ss Eddy alivo mjinga na jopo lake wakawa upande wa wachezaj ambao wachezaj hao hao ni Mediocre players akawasikiliza wachezaji na kumuacha kocha ambae ni mshnd na kumtumia.. Yy ange sikiliza maneno ya MOu akabadilisha team na kuona inakuaje.. Saiv ss ndo wanajua kua MOu alikua anamaanisha nn kusema anajivunia sna kumaliza nafas ya pili na hii team.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…