Point 3 ndio kitu cha muhimu sana kwetu.
Malalamiko ya noisy neighbours tushayazoea.
Viva Man U the Lads!
Point 3 ndio kitu cha muhimu sana kwetu.
Malalamiko ya noisy neighbours tushayazoea.
Viva Man U the Lads!
Huyu refa anastahili kufungiwa kabisa kuchezesha mechi yoyote ile EPL, kama sikosei ndiye huyu huyu aliyeibeba MANU dhidi ya Liverpool...ameharibu kabisa mchezo ambao ulikuwa mzuri sana kabla ya kuanza upendeleo wake wa dhahiri....ni vigumu mno kushina ukiwa na wachezaji 9 kiwanjani dhidi ya timu yenye wachezaji 12
nakubaliana na wewe...kama leo game la everton vs liverpool goli la suarez lilikua ni legitimate goal dakika ya mwisho lakini linesman akatoa offside wakati hakua offside suarez so liverpool wamenyimwa 3points leo....
huo ni mwanzo tu! man ni zaid ya noma!
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.
Man United 4 life.
Pia goli la Manure la tatu, Chicharito alikuwa offside lakini hata wewe hausemi kuhusu hilo, unashangilia point 3 bila aibu usoni.
tv yangu ilionyesha beki wa chelsea david luiz kashika mpira wa krosi ya antonio valencia lakini nimesikia tv walizoangalia anti-man utd fans hazikuonyesha tukio hilo
arteta juzi kati kafunga goli la offside lakini watu hatuna nafasi za kuzungumzia makosa ya marefa wanapokosea vitimu vidogo vinapocheza,majuzi demba ba alifunga goli la mkono je hamkuona hilo?lakini hatuwezi kuzungumzia makosa ya marefa vinapocheza vitimu vidogo
ni issue tu pale inapokuwa ni manchester united,sababu kuu ni zifuatazo-siku zote sisi ni washindani tunabadilisha tu watu wa kugombania nao ubingwa,mara liverpool,mara arsenal,mara chelsea na sasa man city,man utd ipo pale siku zote hivyo sisi ni watu tuliofanikiwa zaidi na tuna haters wengi zaidi
sisi ni wakubwa kuliko timu zote uingereza so all eyes on us
mashabiki wa man utd tuwaache hawa watu wachonge weee si tunavuna ma-points!viva man utd! kama wewe shabiki wa man utd gonga multiple likes if you can!