Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Keane wants Solskjaer to be given time
Roy Keane hasn’t exactly been singing United’s praises tonight, but he does stick by Ole Gunnar Solskjaer.
He told Sky Sports:

More from Solskjaer
He’s been speaking to BBC:
On the VAR decision:
“It was the right decision by VAR - but maybe we could’ve had a penalty as well?”
 
De Gea asked if linesman flag distracted United players
David de Gea has been speaking to Sky Sports about Arsenal’s equaliser.
He said:
 
Mfumo anaotumia Ole hata Wenger alijaribu kuutumia haukufanya kazi vizuri alikuwa na matokeo ya kubahatisha bahatisha tu kitu pekee kilichokuwa kikimbeba Wenger alikuwa na wachezaji wanaoweza kucheza vizuri katika mfumo huo na EPLhaikuwa na timu nyingi ambazo ni title contender kama hivi sasa.

Asipobadilika na kuwa pragmatic ataonyeshwa mlango wa kutokea mapema sana najaribu kujiuliza sipati jibu kama Ole akifungwa na Liverpool halafu akawa na matokeo mabaya dhidi ya Newcastle sidhani kama ataendelea kuvumiliwa.

Kama hatabadilika Ole sioni kama ataimaliza October akiwa kocha wa United.
Kiteteo cha kocha wangu sahizi ni kuwa tupo katika rebuild Hahahahahaha.....
 
Roy Keane ni Brexit.

Ole hana tatizo na Brexit.

Amejaza Brexit wa kutosha ambao ni takataka.

Ndio maana pundits vidomodomo vyote kama Rio, Gary, Roy, Scholes hawana tatizo na Ole. Ingekuwa ni Morinho.

Media zingewaka moto.
 
Nina uhakika 100%, Ole akibaki mpaka mwisho wa msimu, Man Utd itakuwa chini ya 12.

Kwanza nilisema, Rashford hafikishi magoli 20 ya EPL msimu huu.

Pili, Ole akibaki mpaka mwisho wa msimu na hawa wachezaji hatufiki juu ya 10.

I can bet with everything i have in my life.
 
Hujanielewa tu
 
Kama anaona mfumo huu haumpi matokeo kuna haja gani ya kuendelea kuutumia. Doing the same thing and expecting a different result upumbavu huu.
 
Kusema Rashford ni mvivu ni kumuinea, dogo ni moja kati ya wachezaji wanaojituma sana United

Tatizo la dogo ni uwezo mdogo

Laiti Martial angekuwa anajituma kama Rashford, angekuwa mchezaji bora duniani
Rashford mvivu saana uwanjani hana lolote hata shuti hajapiga golin mpak mtoto greenwood anaingia na kupiga shuti
 
Kusema Rashford ni mvivu ni kumuinea, dogo ni moja kati ya wachezaji wanaojituma sana United
Tatizo la dogo ni uwezo mdogo
Laiti Martial angekuwa anajituma kama Rashford, angekuwa mchezaji bora duniani
awap mkuu ivi umemuangalia kwenye game tatu za mwisho ani anasimama tu uwanjani tofauti na rashford wa zamani ambaye alikua anauwezo wakupita hata katikati ya mabeki mpaka supersport jana half time wakina van p walikua wanamchambua
 
Sasa bruno na lingard kwa takwimu izi ni mbingu na ardhi
 
Hahahahahaha ubongo wa benteke
Kusema Rashford ni mvivu ni kumuinea, dogo ni moja kati ya wachezaji wanaojituma sana United

Tatizo la dogo ni uwezo mdogo

Laiti Martial angekuwa anajituma kama Rashford, angekuwa mchezaji bora duniani
 
Wa kuangaliwa kwa jicho la 3.

Ni Watu wachache sana tuliojaaliwa Jicho la 3 kuibua vipaji vya Wachezaji ambao ni hatari wasipokuwa na Mpira.

Ndiyomana unakutia Mshambuliaji Kacheza games 10 lakini ni 0 assists, 0 goals, 0 chances created but still anakuwa ni tishio zaidi ya Messi anapokuwa hana Mpira.

Kwa kujua kikosi changu kamili cha Wachezaji hatari wasipokuwa na Mpira wakiobgozwa na Captain wao Jordan Henderson na Msaidizi wake Jesse Lingard basi fuatilia posts zangu
 
Rashford mvivu saana uwanjani hana lolote hata shuti hajapiga golin mpak mtoto greenwood anaingia na kupiga shuti

Vipi unashauri nayeye tumuangalie kwa jicho la 3 Kuwa ni katika wachezaji Hatari wasipokuwa na Mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…