Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika hao makipa uliowataja King

Binafsi naamini Terstegen & ederson ubora wa timu zao unawaongezea advantages kuwafanya wawe makipa bora .
Hapana.
Mifumo yatimu zao zinawafanya wawe bora kwa sababu timu zao mbaya zinapostambuliwa tofauti na Alison japokuwa anajua sana sana ila timu yake viungo wote ni wakabaji pamoja na mabeki
 
Bila kusahau mifumo ya uchezaji man utd imebadilishwa sana ili kumbeba yeye,lakini wapi.
Wale waingereza viungo wa Liverpool sio world class lakini fabinho na gini hawapotei kiboya kama mfaransa wetu labile.
 
Mkuu umesema vizuri sana,kunywa Pepsi baridi nitalipa mimi.
 
Tena matusi ya nguoni kbsa.. Yan pogba awe mzr kwny kiungo kuliko KDB.. Wadau kueni serious
 
Wachezaji wenye kasi zaidi Manchester

1. Deji Sotona (Miaka 16, yupo academy)

2. Diogo Dalot

3. Tahit Chong

4. Marcus Rashford

5. Daniel James

Sikuwahi kumuona Dalot kama ni mkimbiaji kiivyo, sometime eyes can be deceiving
 
Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa Bodi ya Man United kabla haijawa too late

Hii kujivunia "Big Brand" iangaliwe kwa Makini.

Tulishazoea kuwa linapokuja suala la Mapato Man United inakua juu kwa kila idara.

Lakini msimu uliomalizika naona kwenye Mapato ya TV imekuwa wa 5, imepitwa na hata Spurs.

 
Naona story za kupata DoF zimeanza tena
itakuwa kuna mzembe anapigiwa hesabu za kutimuliwa kibaruani na sheikh woodward.
sijui atakuwa ni labile, matic au bwana yule kutoka norway?

hayo majukumu ya DOF mbona hayajawekwa wazi mpaka muda huu?
dalili zinaonyesha wazi ed woodward bado ataendelea kushikilia nyadhifa zote za kimaamuzi ya ndani ya uwanja na si kwamba atajikita zaidi kwenye eneo la biashara,
nitamshangaa sana edwin van der sar kama atakubali ofa ya manchester united, ni bora aendelee kufanya kazi kwa uhuru huko ajax kuliko kuchota fedha nyingi kwa kazi isioeleweka.

huo ndio mtazamo wangu.
 
Man u ikiendelea kuboronga uwanjani itaathirika sana kimapato na soon haitaweza kucompete hata kwenye transfer window.

Sasa hivi muscle pekee waliyonayo ni pesa kuweza kusajili mchezaji yoyote lakini siyo kivutio cha wachezaji tena.kiuwanjani.

Siku uwezo wa kushindana sokoni kifedha utaisha basi man u itakuwa imeondoka rasmi kwenye list ya top 6 na kuwa midtable team.
 
Kampuni za betting, zimeondoa jina la Van De Sar kuwa DoF wa United

Tafsiri yake hawapo tayari kupoteza mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…