Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu unaongea kama vile una enjoy anavyofanya, hivi huo anaoufanya ni usumbufu au uwendawazimu

Nakushauri tu, you should distance yourself from these kind of people
shutup wewe chakorii
 
Amevutiwa na kilichoandikwa na ameona huo ushaur upo na uhai hiv, ka"like" akiwa na akil timamu mana kafungua comments acheki watu wanasemaje kuhus tim.
Labda akaunti imekuwa hacked

Kuna kipindi Bailly ali like comment inayomdisi Pogba na Rashford, lakini baadaye akasema akaunti yake ilikuwa hacked
 
Amepanic, akasahau

Anawaza timu ambazo ulimwambia anaweza kuchukua points 6, ameambulia points 4

Je kwenye zile ulizomwambia atakula kichapo itakuaje
Kwenye gemu nne Tammy ana goli Nne ..Rashid ana goli ngapi?? Tuanzie apo

Kila la kheri Chelsea
 
Wanaotusumbua humu ni Ollachuga, Penison, Southern....., sometime Aaron, na wewe kiaina na wengine

Sidhani kama hao niliowataja wapo kundi moja na huyo jamaa
Tunawasumbua kumbe

Sasa ngoja Rudger,Cheek,Kante na Willian warudi ..itabidi lile jukwaa la Chelsea liamie uku...

Uyo jamaa ni mpumbavu mmoja ivi awezi kuwa kundi moja na sisi wasumbufu
 
Kwenye gemu nne Tammy ana goli Nne ..Rashid ana goli ngapi?? Tuanzie apo

Kila la kheri Chelsea
Tafuta Jukwaa la Tammy Abraham na Rashford

Hili Jukwaa la United

Labda tuanzie hapa, Man Utd na Chelsea nani ana points nyingi kuliko mwenzake
 
Tunawasumbua kumbe

Sasa ngoja Rudger,Cheek,Kante na Willian warudi ..itabidi lile jukwaa la Chelsea liamie uku...

Uyo jamaa ni mpumbavu mmoja ivi awezi kuwa kundi moja na sisi wasumbufu
Willian yupo fit, Kante ameshacheza akaumia tena, Rudiger ni afadhali hata Ninja wa Yanga. Huyo mwingine hata kumtaja jina kupoteza wino wa JF

Kutaja wachezaji ambao hawapo ni style za kizamani

Timu yenu ina wachezaji zaidi ya 23
 
Tukubar kwamba chelsea. Man u na asernal zote ni mbovu kwa sasa sema tukishinda kigemu kimoja wote tujigamba tuko vizur timu zote zinaitaj reform na reshufle ya maana
 
Tukubar kwamba chelsea. Man u na asernal zote ni mbovu kwa sasa sema tukishinda kigemu kimoja wote tujigamba tuko vizur timu zote zinaitaj reform na reshufle ya maana

Angalau arsenal ushambuliz wao
Ni uhakika kupata goli

Jana ukiangalia zile goli za chelsea walizopata utacheka ufe za hovyo hovyo tu timu makini huwez kukutana ule uzembe wa bek

Arsenal mpira wanaocheza una mipango hata goli zao zinaonekana ila manchester united na chelsea ushambuliz na utengenezaj nafas za kufunga hovyo sana
 
Willian yupo fit, Kante ameshacheza akaumia tena, Rudiger ni afadhali hata Ninja wa Yanga. Huyo mwingine hata kumtaja jina kupoteza wino wa JF

Kutaja wachezaji ambao hawapo ni style za kizamani

Timu yenu ina wachezaji zaidi ya 23

Mkuu ila Rudiger ni bek mzur kwa timu yetu hamna wa kumuweka bench kile ki lindelof hata nusu ya rudiger hafik achilia mbali ki shaw na young

Timu yetu ina bek wawili tu maguire na bissaka nasubir kumuona tuanzebe akipata natasi waliobaki ni takataka
 
Tunawasumbua kumbe

Sasa ngoja Rudger,Cheek,Kante na Willian warudi ..itabidi lile jukwaa la Chelsea liamie uku...

Uyo jamaa ni mpumbavu mmoja ivi awezi kuwa kundi moja na sisi wasumbufu

Wachezaj hapo ni Rudiger na kante waliobak ni uchafu willian zile nywele zinasababisha spid ya mbio kupungua upepo una mvuta ile ni new version ya fellain
 
Tuanzebe ana uwezo kuliko huyo Rudiger, ana brain ya Lindelof halafu ana pace ya Smalling

Pia ni mzuri kwenye mipira ya, muda sio mrefu Lindelof atakuwa chaguo la 3 kwa mabeki wa kati

Lakini huyo Rudiger namuona ni kama Bailly flani hivi, juhudi nyingi akili chache
 
Tuanzebe pia mzuri kwenye mipira ya juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…