Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu kinachomwangusha Ole kwa sasa ni yeye kuendelea kuishi kama former Manchester united player na siyo Manchester united manager.
 
Ila huyu mtoto James kama hii timu ikifunguka na ikawa inacheza kwa kutanua uwanja halafu akawa anapenyezewa mipasi ya kukimbiza,mabeki watachezea umeme sana.

Hofu yangu ni kwamba kwa hivi tunavyocheza tutampotezea muda huyu dogo.
Nilisema na mtu jana.

James anafaa formation ya kutumia winger.

Hatutaona potential ya huyu dogo kwa hii formation.
 
Mpaka huo muda ufike ushashuka daraja.

Man Utd ni comercial club.

Ukiwa unapoteza sana kwa muda mrefu unakuwa mbuzi wa kafara.

Akipoteza mechi 4 zijazo, ataoneshwa mlango wa kutokea.
 
Kuna wale wachezaji wanakuokoa hata kama mnacheza mpira mbovu.

Mou alikuwa nao akajua kuwatumia.

Ole hana hao wachezaji ndio maana kutoa draw ni mafanikio kwake.

Ukiwa na striker mkali akakupa magoli, ule udhaifu hauonekani.

Ila wewe una Rashford anajiangusha mechi nzima, hakupi matokeo. Kila mtu atahoji aina yako ya uchezaji.
 
1 Daley Blind
2 Mikhtaryan
3 Fellain
4 Herera
5 Zlatan Ibrahimovic
6 Marcos Rojo
7 Morgan.Shenanderleen

Huoni kuwa Mourinho alikuwa na kikosi kizuri kuliko Ole ?

Kama ni wazuri kwanini Waliondoshwa kwenye Timu?
 
No hafai Ryan Fraser wa Bournemouth ndiyo typical player
huyu Fraser si winga? kama ndio hatufai kwa sasa, mara nyingi namuonaga akutokea kushoto na United ina Martial, James, Rashford ni wazuri wakitokea kushoto.

namba ya Maddison kuna Mata, Lingard wote hao hawafui dafu kwa huyo mwamba anajua kutengeneza nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…