Sasa jamani nyie ndugu zangu wa arsenal mlio halfcast wa liverpool mi nauliza swali moja tu. Timu yenu ya KUFIKIA (LIVERPOOL) mpaka jana wameshacheza mechi ngapi na pointi zao ni ngapi? Na huko kwingine walionewa? GGMU
Mimi hua nakuaga na wasiwasi na man city chelsea n liverpool lakini arsenal walaaah sina wasiwasi kabisa yaani nakua so relaxed bring em on tuwachape bao saba
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.