SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
Mamamae! Unaanzaje kuchukua EPL kwa mtindo huo...[emoji23] [emoji23] wachezaji kama YoungHuku ukimwangalia mwenzio akitoka mahrez anaingia bernado, akitoka sane anaingia silva,akichungulia bench unamwona aguero,fernadinho daaaaa[emoji23][emoji23]
Kweli. Anafavour waingereza badala ya kiwango cha mtu.
Inauma lakini acha tupigwe ili Ole aache kiburi na Lingard wake.
Ole ana uingereza mwingi sana.
Magarasa yapo manne kuna Lingard, Jones, Smalling na Ashley YoungMamamae! Unaanzaje kuchukua EPL kwa mtindo huo...[emoji23] [emoji23] wachezaji kama Young
Mata mlevi ni bora kuliko lingard.
Kweli. Anafavour waingereza badala ya kiwango cha mtu.
Bench lina Mata na Pereira, lingard yupo ndani anarukaruka mechi ya pili hii. |
Tunacheza vizuri sema shida timu imerelax sana wanacheza kifather sana yani. Tunawachezaji wengi wenye pace lakini tuko slow sana kupeleka mashambulizi mapasi mengi hayana maana.
Lingard ni headless chicken. Mtu anakuja na kusema ni muhimu sabb ya mbio. [emoji23]
Bench lina Mata na Pereira, lingard yupo ndani anarukaruka mechi ya pili hii.
Shots on target man u mpka halftime 0
Nan akupe draw hapo kipigo tuHii sio draw kweli ? Maana hawa madogo wa London huwa wahuni sana hawa. [emoji87]
Man U huwa haifanyi vizuri Rashford akitokea pembeni. Fuatilia kuanzia leo utaelewa
Hatupo serious kabisa yani na msimu huu tunasindikiza wenzetu hakuna tutakachoambulia
Goli nne dhidi ya Chelsea ziliwalevya hawa watoto. Hivi Ole anategemea kabisa Lingard amlishe martial/Rashford kweli?😂😂 |
Anaboa sanaKweli. Anafavour waingereza badala ya kiwango cha mtu.
Kweli. Anafavour waingereza badala ya kiwango cha mtu.
Wan Bissaka ni kifaa asee... unaona kabisa kazi yake. Ila sasa huko mbele kwa hao watoto... very basic... average tupu! Pogba naye hajastep up!Man ni uchafu. Mbele ni upuuzi mtupu mipira inafikishwa mbele lakini wachezaj wa mbele wote ni so average. Hutushindi chochote na forward line kama hii.
Pogba anapoteza mipira mnoo
wan bissaka wanamchosha mtoto wa watu
Hapo nan wakupiga on targetShots on target man u mpka halftime 0