Manchester United news: 'It was always me, Paul Pogba or Alexis Sanchez to blame!' - Romelu Lukaku hits out at Reds Devils fans | Goal.com
Romelu Lukaku has hit out at Manchester United for not doing enough to protect him in the media and claims he, Paul Pogba and Alexis Sanchez were continually made scapegoats.www.goal.com
"They have to find somebody," Lukaku told the LightHarted Podcast, apparently recorded prior to his Inter move. "It is Pogba, it is me or it is Alexis. It's the three of us all the time".
I put my hand up, like, this year I don't think I was the only one playing bad. A lot of people were playing bad but they had to find the culprit.
Acha kujitoa ufahamu chief. Man akiwa na hao akina Lingard na Rash anao uwezo wa kumfumga timu yoyote kwenye top 6 na haitakuwa stori kiivo. City ni wazuri relatively, lakini gap so kubwa km ulivyo kariri.
Anachapwa vizuri tuu na yeye ataenda uwanjani kwa maandalizi full akijua chance ya kushinda ni 50/50
Mkuu Lingard hana maisha marefu kwnye timu ya Ole, kilichombakisha Lingard na kina Jones etc ni rebuilding process, Ole target yake this season timu irudi top4 then asafishe nyumba, Ole juzi kaojiwa kuhusu usajir, kasema pesa ya Lukaku anayo ila ataitumia kwa wachezaj sahihi (player with utd DNA)Jessey Lingard hafiki hata nusu ya Angel Gomes had kule kwenye academy huenda wanacheka sana kama jamaa anacheza kila game sasa madogo wanakazaje?
Toka 2016 nafikir hana hata assist 10 au 8
Toka 2008 Pep ndie kocha aliechukua mataji mengi kuliko Kocha yeyote Ulaya. Chukieni ila mpeni haki yake kuwa ni kocha bora zaidi duniani ambayo kila Club inamtamaniKuna watu wanamuona Pep kama kamungu flani
Kwamba hafungwi, na timu zake ni bora duniani
The funny thing, msimu uliopita kwenye mechi za kawaida tu kama 3 ikiwemo ya Wolves, Leicester na Cristal Palace amepoteza points
Huyo huyo Pep akiwa Etihad akiwa anaongoza goli 2 - 0 na United wakiwa na forward line ya Lingard na Rashford na beki ya Smalling Man Utd akasawazisha na mwisho akashinda goli 2-3
Kama hafungiki achukue UEFA akiwa nje ya Barcelona ya Messi, Xavier, Iniesta na Bosquet maana hata kwa Barca hii hawezi kufanya jambo la maana.
Nikumbushe hata Makocha waliokuja nyuma yake pale Barca walifanya makubwa tu, na hiyo ili prove kwamba pamoja na kwamba Pep ni kocha mzuri lakini wachezaji aliokuwa nao ndio waliombeba
Mkuu Lingard hana maisha marefu kwnye timu ya Ole, kilichombakisha Lingard na kina Jones etc ni rebuilding process, Ole target yake this season timu irudi top4 then asafishe nyumba, Ole juzi kaojiwa kuhusu usajir, kasema pesa ya Lukaku anayo ila ataitumia kwa wachezaj sahihi (player with utd DNA)
Kinachofanywa na Ole ni kurudisha misingi ya manchester ambayo ilivurugwa na Van Gal/Mou, kaleta wachezaj watatu tu msimu huu lakin wote ni aina ya wachezaj wa ki'manchester, angalia dogo James anavyoona thaman kuvaa jezi na utd
Hata Pogba chini ya utawala wa Ole hana maisha bcoz ni aina ya mchezaj ambaye hajivunii kuichezea timu kubwa kama manchester utd, msimu huu Ole kambembeleza ili turudi top4
Ole=Ferguson
Kuna watu wanamuona Pep kama kamungu flani
Kwamba hafungwi, na timu zake ni bora duniani
The funny thing, msimu uliopita kwenye mechi za kawaida tu kama 3 ikiwemo ya Wolves, Leicester na Cristal Palace amepoteza points
Huyo huyo Pep akiwa Etihad akiwa anaongoza goli 2 - 0 na United wakiwa na forward line ya Lingard na Rashford na beki ya Smalling Man Utd akasawazisha na mwisho akashinda goli 2-3
Kama hafungiki achukue UEFA akiwa nje ya Barcelona ya Messi, Xavier, Iniesta na Bosquet maana hata kwa Barca hii hawezi kufanya jambo la maana.
Nikumbushe hata Makocha waliokuja nyuma yake pale Barca walifanya makubwa tu, na hiyo ili prove kwamba pamoja na kwamba Pep ni kocha mzuri lakini wachezaji aliokuwa nao ndio waliombeba
Soma tena nilichoandika, ukielewa urudi tujadiliToka 2008 Pep ndie kocha aliechukua mataji mengi kuliko Kocha yeyote Ulaya. Chukieni ila mpeni haki yake kuwa ni kocha bora zaidi duniani ambayo kila Club inamtamani
Kuhusu kutumia pesa nyingi ili kupata mafanikio mbona makocha wengi wametumia pesa kubwa mrejesho ukawa hauridhishi? PSG, Barça nae anatumia pesa nyingi sana ila UEFA hajachukua mwaka wa tano huu.
Pep ni kocha bora duniani
safi sana mkuu umeongea kama kaka wa mashabiki wa man u humu jamii forums😆,Alipokuwa anamfumua city uefa ilisajili wangapi na pep alisajili wangapi shida yako moja unaongozwa na chuki sio mpira unaamini city wanamfunga yoyote? Huo mpira umejifunzia wapi?
City alifungwa 3 kwake mwaka jana lingard na rashford walikuwepo
City alifungwa goli moja bila nyumbani kwake striker akiwa rashford na ndo alifunga goli moja
Sijui wengine mpira mnacalculate vipi
Usione humu tunawapigia kelele lingard na rashford kwa akili yako ukafikir ukikutana nao ni vilaza unaumia kama kawaida ila hatupend vile wanavyopoteza nafas za waz
Halafu spurs aliekubandua uefa alifungwa kwake na rashford goli moja bila kwenye ligi tia akilini
Kuna watu hawajui kuwa pep na yeye anakulaga vipigo vzr tuKuna watu wanamuona Pep kama kamungu flani
Kwamba hafungwi, na timu zake ni bora duniani
The funny thing, msimu uliopita kwenye mechi za kawaida tu kama 3 ikiwemo ya Wolves, Leicester na Cristal Palace amepoteza points
Huyo huyo Pep akiwa Etihad akiwa anaongoza goli 2 - 0 na United wakiwa na forward line ya Lingard na Rashford na beki ya Smalling Man Utd akasawazisha na mwisho akashinda goli 2-3
Kama hafungiki achukue UEFA akiwa nje ya Barcelona ya Messi, Xavier, Iniesta na Bosquet maana hata kwa Barca hii hawezi kufanya jambo la maana.
Nikumbushe hata Makocha waliokuja nyuma yake pale Barca walifanya makubwa tu, na hiyo ili prove kwamba pamoja na kwamba Pep ni kocha mzuri lakini wachezaji aliokuwa nao ndio waliombeba
Na usajir wakujenga timu unaenda hivo, huwez kuondoa wachezaji WOTE kwa mkupuo,Mkuu Lingard hana maisha marefu kwnye timu ya Ole, kilichombakisha Lingard na kina Jones etc ni rebuilding process, Ole target yake this season timu irudi top4 then asafishe nyumba, Ole juzi kaojiwa kuhusu usajir, kasema pesa ya Lukaku anayo ila ataitumia kwa wachezaj sahihi (player with utd DNA)
Kinachofanywa na Ole ni kurudisha misingi ya manchester ambayo ilivurugwa na Van Gal/Mou, kaleta wachezaj watatu tu msimu huu lakin wote ni aina ya wachezaj wa ki'manchester, angalia dogo James anavyoona thaman kuvaa jezi na utd
Hata Pogba chini ya utawala wa Ole hana maisha bcoz ni aina ya mchezaj ambaye hajivunii kuichezea timu kubwa kama manchester utd, msimu huu Ole kambembeleza ili turudi top4
Ole=Ferguson
Upo sahihi kabisa ,Soma tena nilichoandika, ukielewa urudi tujadili
Sio kwamba sijatambua ni kocha mzuri, lakini nimekwambia conditions anazokutana nazo kwenye timu zake ndio zinamfanya atambe zaidi, pale Barca alikuwa na arguably the most decorated group of players of all time at club level.
Baada ya kuondoka Barca akawa kocha aliye spend hela nyingi kuliko makocha wote kwa ligi husika. Ujerumani aliwa out spend wenzake wote, Uingereza ikawa hivyo hivyo.
Wakati unatuambia tangu 2008 ndio kocha aliyefanikiwa zaidi, usisahau pia kutuambia tangu mwaka huo ndio amekuwa kocha aliye spend zaidi japo tangu aondoke Barca hajaweza kuchukua kombe lenye hadhi kubwa (champions league) zaidi kwa level ya vilabu
Toka 2008 Pep ndie kocha aliechukua mataji mengi kuliko Kocha yeyote Ulaya. Chukieni ila mpeni haki yake kuwa ni kocha bora zaidi duniani ambayo kila Club inamtamani
Kuhusu kutumia pesa nyingi ili kupata mafanikio mbona makocha wengi wametumia pesa kubwa mrejesho ukawa hauridhishi? PSG, Barça nae anatumia pesa nyingi sana ila UEFA hajachukua mwaka wa tano huu.
Pep ni kocha bora duniani
pep ni the philosopher hata akihamia Manchester United mm nitaanza kuishabikiaMkuu nimesoma mjadala wako na Mc cane niseme tu umetengeneza topic yako kwa nini nasema hivyo hamna aliposema pep ni kocha mbovu hamna anaemchukia kuweka sawa kazungumzia kufungwa kwake pep ni kocha bora halina ubish isipokuwa tusiambiane timu anazofundisha ni uhakika kuzifunga timu zote mbovu na nzur anazokutana nazo hivyo yaani ni hapa mshabik mmoja anasema city kumfunga manchester united ni uhakika kiuhalisia kwenye karatasi ipo hivyo ila ki mbinu vitu viwili tofauti
Eti spurs aliyekubandua [emoji23] [emoji23] Mr mimi ni bingwa wa UEFA na SUPERCUP mzee. Shabiki wa the Most English successful club. Huyo Lingard akifikisha hata goli nane msimu huu, najipiga ban. Huna timu ya kumsumbua city wewe si kwako wala kwake!Alipokuwa anamfumua city uefa ilisajili wangapi na pep alisajili wangapi shida yako moja unaongozwa na chuki sio mpira unaamini city wanamfunga yoyote? Huo mpira umejifunzia wapi?
City alifungwa 3 kwake mwaka jana lingard na rashford walikuwepo
City alifungwa goli moja bila nyumbani kwake striker akiwa rashford na ndo alifunga goli moja
Sijui wengine mpira mnacalculate vipi
Usione humu tunawapigia kelele lingard na rashford kwa akili yako ukafikir ukikutana nao ni vilaza unaumia kama kawaida ila hatupend vile wanavyopoteza nafas za waz
Halafu spurs aliekubandua uefa alifungwa kwake na rashford goli moja bila kwenye ligi tia akilini
Philosopher, the student of philosopher Bielsa... Kwa sasa ana philosophise pale Leeds Unitedpep ni the philosopher hata akihamia Manchester United mm nitaanza kuishabikia
Most Successful English club ndio ipi hiyo, kadanganye wenzako huko kwenye nyuzi zenuEti spurs aliyekubandua [emoji23] [emoji23] Mr mimi ni bingwa wa UEFA na SUPERCUP mzee. Shabiki wa the Most English successful club. Huyo Lingard akifikisha hata goli nane msimu huu, najipiga ban. Huna timu ya kumsumbua city wewe si kwako wala kwake!