Sawa ibilisi fan
Did Jesse Lingard score or assist a PL goal?
May 2018: no
Aug 2018: no
Sep 2018: no
Oct 2018: no
Nov 2018: no
Dec 2018: YES (4G 2A)
Jan 2019: no
Feb 2019: no
Mar 2019: no
Apr 2019: no
May 2019: no
Aug 2019: no
Hao wote wawili hawana pace kama ya Lingard ikiwemo kasi pia
Naomba tofauti Kati ya pace na kasi mkuu
Kwahyo level yangu ya ufahamu iwe kubwa kwamba Mnaweza mpiga man city? Anyway, ushabiki umekupanda kichwani na si uhalisia wa hii timu yako.Level yako sasa ya ufaham inatakiwa iwe pana bila hivyo utahangaika na hayo maswali
Kwahyo level yangu ya ufahamu iwe kubwa kwamba Mnaweza mpiga man city? Anyway, ushabiki umekupanda kichwani na si uhalisia wa hii timu yako.
Man kumpiga city si story.Aliwahi kumaliza ligi kashinda mechi zote 38? Ndio maana nakwambia level yako ya ufahamu wa mambo ipanuke
Man kumpiga city si story.
Mbona unatoa povu sana ibilisi fan?Najua maumivu yako hamna namna ukubaliane na kwamba aliekutangulia tayar kisha kutangulia roho mbaya na wivu haviwez kukuweka level moja na aliekushinda
Mbona unatoa povu sana ibilisi fan?
Mzee, that's Tottenham ambayo iko organised na imesajili vema kufill in their gaps. Usione kwakuwa Tott ameweza ambua draw basi nawe na hii Man utd yako ya Lingard na Rashford ndo ukaisumbue City. Uliitazama mechi?Aliwahi kumaliza ligi kashinda mechi zote 38? Ndio maana nakwambia level yako ya ufahamu wa mambo ipanuke
Mechi alizofungwa kafungwa na timu za daraja unalo mkweza?
Kashindwa hata kumtoa spurs uefa bado unajipa matumaini ni timu isiyofungwa?
Pengine wewe ndo unaongozwa na ushabik ila sio uhalisi wa mpira
Angemfunga spurs sasa jumapili na ukumbuke spurs kachezesha bek rose na dogo wa academy kwenye shavu la kulia
Acha kujitoa ufahamu chief. Man akiwa na hao akina Lingard na Rash anao uwezo wa kumfumga timu yoyote kwenye top 6 na haitakuwa stori kiivo. City ni wazuri relatively, lakini gap so kubwa km ulivyo kariri.Mzee, that's Tottenham ambayo iko organised na imesajili vema kufill in their gaps. Usione kwakuwa Tott ameweza ambua draw basi nawe na hii Man utd yako ya Lingard na Rashford ndo ukaisumbue City. Uliitazama mechi?
Daah.. Ameongea kwa hisia kali sana japo ameoesha kutojali yaliyompata.Touch class message from pogbaView attachment 1187062
Stupid boy ameanza ujinga yeye aliponunuliwa kwa € 75 skutegemea acheze sawa na walionunuliwa €30 au 15.... Timu umeanzisha mashambulizi vizuri mnampa mpira anashindwa kutuliza anatokwa na jasho tu.....Manchester United news: 'It was always me, Paul Pogba or Alexis Sanchez to blame!' - Romelu Lukaku hits out at Reds Devils fans | Goal.com
Romelu Lukaku has hit out at Manchester United for not doing enough to protect him in the media and claims he, Paul Pogba and Alexis Sanchez were continually made scapegoats.www.goal.com
"They have to find somebody," Lukaku told the LightHarted Podcast, apparently recorded prior to his Inter move. "It is Pogba, it is me or it is Alexis. It's the three of us all the time".
I put my hand up, like, this year I don't think I was the only one playing bad. A lot of people were playing bad but they had to find the culprit.
Hata mim nimemshangaa, Ole ndio maana kamuuzaStupid boy ameanza ujinga yeye aliponunuliwa kwa € 75 skutegemea acheze sawa na walionunuliwa €30 au 15.... Timu umeanzisha mashambulizi vizuri mnampa mpira anashindwa kutuliza anatokwa na jasho tu.....
Mzee, that's Tottenham ambayo iko organised na imesajili vema kufill in their gaps. Usione kwakuwa Tott ameweza ambua draw basi nawe na hii Man utd yako ya Lingard na Rashford ndo ukaisumbue City. Uliitazama mechi?