Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unamatatizo wewe..kisa wewe na James Delicious mmeshindwa kumfunga sio
 
Mimi kwa madudu ya Pogba nitaendelea kumlaumu Ole, Aguero mchezaji mkubwa na bora pale City juzi tumeona anakoromewa na kutolewa kwa kutokukaba. Ole yupo anaendelea 'kuchua' kiburi cha Pogba.

Kama kocha anasema penalty zipigwe na Rashford si dharau yeye kwenda kuomba kupiga?

Ole alitakiwa kujenga nidhamu kwanza katika timu ndio mengine yafuate.
 
Zee la misifa leo limetunyima point tatu.

Pogba anaisaidia timu lakini anatakiwa apunguze sifa za kutaka aonekane yeye pekee.
Mi usajili wake tu sijawahi kuuunga mkono yaani kiungo type ya Paul Scholes iwe replaced na mtu anayeplay role moja tu ya kuchezesha but kwenye kukaba kapa.Kwa mpira wa siku hizi kiungo anayefanya kazi ya kuchezesha tu kwenye kukaba haonekani hiyo timu lazima iunge tela la kusindikiza wenzao.
 
Man u tumepoteza nafasi za wazi kabisa..hatimae wolves wamepata chance moja wameitumia vizuri. Safu ya ushambuliaji itatugharmu huu msimu
 
Ile game na chelsea mpaka nahisi tulibahatisha aiseee..defense iko poa ila oale mbele na kati kati aisee majanga siku tukikutana na city sijui itakuaje
Ni kweli mlibahatisha. Kwani kuna asielitambua hilo???
 
Naunga mkonyo oja hahahaaaa
 
Man u tumepoteza nafasi za wazi kabisa..hatimae wolves wamepata chance moja wameitumia vizuri. Safu ya ushambuliaji itatugharmu huu msimu
Hamna fowadi... Nyie toka lini mkamtegemea rashford,martial na lingard watu ambao kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita hawawezi hata kufikisha goliv13 kwa msimu halafu nyie ndio fowadi zenu tegemezi????? Hamfiki popote.
 
Wenyewe wanadai huyo ndio nembo ya MUFC, wacha tutulie.
 
Sisi tutabeba zote tatu..
 
Mambo mengine ni kujitakia tu.Man Utd na kiungo kama Pogba wapi na wapi.Hapa atafutwe Paul Scholes mwingine vinginevyo tutapambania nafasi za kucheza Europa hadi tukome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…