Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Man U inalemewa kwa sasa ila sioni matokeo mazuri kwa KOP zaidi ya sare.Liverpool vibonde wa timu nyingine kasoro Man United.
Mwambie mwaarabu hilo kapu ataishia kubebea tende.
Arsenal 2 Man City 1. ,
Man U inalemewa kwa sasa ila sioni matokeo mazuri kwa KOP zaidi ya sare.
Yangu macho, ngoja nitafute mzinga mwingine wa konyagi..
English Premier League
BelindaJacob this is the Link.......lets stay together kwenye Raha na Shida........
Wako karibu na mkiani wanajua kuna umuhimu mkubwa wa kushinda leo ili waondoke karibu na mkiani.
hii ni starehe kaka , tunaenda kwa step..Duh! angalia usilipuke tu kabla hata ya HT 🙂
Man U wanabebwa hapa
lets go man u
Man U inalemewa kwa sasa ila sioni matokeo mazuri kwa KOP zaidi ya sare.
Yangu macho, ngoja nitafute mzinga mwingine wa konyagi..
Mnaenda wapi...
hii ni starehe kaka , tunaenda kwa step..