Sure kunahita shuffle flan in-between dalot na shawHatari kama ndiyo anatafuta kibarua cha kucheza soka, natumaini ole awaze vizuri na kumpa Dalot namba saba hii Wan Bissaka haina mpinzani kabisa
Lingard
Atolewe hana analofanya uwanjan
Rashford pia hana analofanya Uwanjani ...
Pale kati ni musiba wa taifa
Nafikiri sote tumeona msiba tulionao pale katikati.
Kazi kubwa inayofanywa na mabeki wataanza kuchoka.
Wan Bissaka siyo Leo Tangia pre season alikuwa Skangaga sana
Back to square one[emoji91][emoji91][emoji91]
Wapi olechuga[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahah ha hahahahah tunauaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]