Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matured
 
Ngoja tuone mkuu

Ila kwa viungo tulionao on paper tu ni kama hatuna watu..utakuwa ni unafki tu tukisema kuwa tuko sawa wakati ukiacha Pogba hatuna mtu mwingine pale middle..tulihitaji kiungo wa level za juu kabisa hilo halina ubishi..

Tena wawili kumbuka Fellain na herrera hawapo
 
Ngoja tuone mkuu

Ila kwa viungo tulionao on paper tu ni kama hatuna watu..utakuwa ni unafki tu tukisema kuwa tuko sawa wakati ukiacha Pogba hatuna mtu mwingine pale middle..tulihitaji kiungo wa level za juu kabisa hilo halina ubishi..
Labda Fred kuna mmaajbu ameonesha ndio maana Ole katulia.😂
 
Angalieni usajili wa madrid pamoja na kuwa na nyota kibao lakin wameingia sokoni wametoka na watu 6 wa maana hii timu ya smalling,jones na young unachukua watu wa 3 tena james na bissaka ambao wanatakiwa kukomaa
 
Naheshimu sana mawazo yako ktk timu ambazo zimefanya hovyo sokoni bado united huu ni mwaka wa 6 unaenda vibaya na mashabik wanajua huu ni mwaka wa 6 hamna DM huu ni mwaka wa 6 hamna striker wa maana huu ni mwaka wa 6 hamna 7 na 11 wa maana unaamini hayo matatizo yametatuliwa walau nusu? La hasha hata hatujagusa

Lindelof bado sio bek makin kabisa yaani Maguire anakazi kubwa ya kufanya nakwambia

Shaw injury prone

Rojo injury prone

Smaliing unamjua

Jones unamjua

Hapo kuna darmian

Young unamjua

Matic unamjua

Lingard unamjua

Rashford mech 5 au 6 anafunga goli moja

Martial hivyo hivyo na kinachombeba martial ni ball contro na dribling ila kwenye kufunga majanga pia

Haya njoo

Liverpool mbele tu wana top scorer

Achana na kiuongo bek na kipa

City top scorer

Achana na viungo bek na kipa

Arsenal top scorer

Hapa hata viungo wao wanakuwa wa maana sana miaka yote huwa wanatupoteza katikatik huwa tuna bahati ya kushinda tu

Spurs second best top scorer

Kiuongo had bek zao zipo safi

United mtu mwenye goli nyingi ni pogba 13 hapo kuna penat 6 au 7 hivi

Lingard ambae hucheza namba 10 muda mwingine goli 4 na assist 3

Sanchez goli 3 na assist 2 sijui

Je tumesajili vizur?

Hata vipaumbele vya solskjaer havipatikana

Kumsajili magiure ni baada ya Erick Bailly kuumia bila hivyo Bissaka na James ilikuwa mwisho tushukiru injury ya Bailly.
 
Angalieni usajili wa madrid pamoja na kuwa na nyota kibao lakin wameingia sokoni wametoka na watu 6 wa maana hii timu ya smalling,jones na young unachukua watu wa 3 tena james na bissaka ambao wanatakiwa kukomaa
Na hao madridi hawajashinda hata mechi Moja ya preseason ujue
 
Bayern munichen v Manchester united quarterfinal UEFA.

Unaongelea timu iliyokuwa na watu wanaojitambua hata sir alex alikuwa anapanga mabek watupu

Mpange saiv tukicheza na city au liverpool tupate majibu au kule kujifunga unafikir anapenda
 
Unaongelea timu iliyokuwa na watu wanaojitambua hata sir alex alikuwa anapanga mabek watupu

Mpange saiv tukicheza na city au liverpool tupate majibu au kule kujifunga unafikir anapenda
Timu ilikuwa chini ya Moyes na katika kipindi cha Moyes Phil jones alichezeshwa zaidi kwenye kiungo.
 
Humu watu wenye hisia ni wengi kuliko wenye uhalisia yaani watu wana squad rotation kubwa wewe una Greenwood Mimi nafikiri hata wolves watatusumbua tena

Timu hii kutoa ushindani ni ngumu sana hata kwa Top 4 ukiangalia Spurs tu wametuacha mbali sana

Jamaa anakwambia ile mech ambayo wakina rio na vidic wapo analinganisha na sasa ndo jones acheze 6 mbele yake pogba na matic
 
Timu ilikuwa chini ya Moyes na katika kipindi cha Moyes Phil jones alichezeshwa zaidi kwenye kiungo.

Bek walikuwa wetu gani na mbele walikuwa watu gani? Ulikuwa na lingard na rashford?

Sanchez na matic na fred walikuwepo au scott?

Kama alikuwepo Rooney na chicharito au Luis Nani timu pinzani lazima wawe na adabu kumbuka hilo
 
Huwezi kuniamini lakini Rashford muna bonge la Striker! Subiri awe matured tu uweze kuconfirm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…