Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kutoka kwa Di marzio amefanya mazungumzo na ndugu yake pogba

Mathias Pogba spoke of what could be the future of his brother Paul

The transfer market breaks into the Pogba family , but not only for Paul. His brother Mathias is in fact about to start a new adventure in Spain, where he landed in the night to sign with the Manchago CD .

Waiting for him at the airport are also the microphones of AS to talk about the most famous brother, disputed by the big names of Europe. Clear and clear words are those of Mathias, who also focused on the possible transfer of Paul to Real Madrid : "For him I always want the best and, if he believes that Real is the best company to play in, he will go . I chose to come to Spain not because there is the possibility that Paul will come too, but only because I believe in the CD Manchago project. The football that is played in Spain is the best, like me and my brother too ".

Finally, Mathias Pogba revealed another element that could push Paul towards Real Madrid : "There is Zidane who is a master of football. A childhood idol and an important man for France. It is good that he is here and has started very well his career, is an example for the players ".
 
You have a point. But do you remember martial alipokuja man u. He was first choice.. namba tisa matata sana.
The guy he stoped playing baada ya kunyang'anywa jezi. Kupelekwa kwenye wing na nafasi yale akapewa rushford. Shida ikaanzia hapo.
 
Since lukaku amekuja martial anacheza different number. Mweke martial namba 9 na lukaku namba 9. Then kuwe vipimo sawa.

Kwa nafasi aliyopo sasa ni ngumu sana kufikia idadi ya mabao hiyo. National team ni kitu rahis kwa lukaku.. timu yenye mfumo wa ulishaj mpira mzuri .. yeye hahangaik kukaba.. ni kutupia kwenye nyavu. Ile timu hata wakimuweka boko namba 9. Atatupia sana.

Tofauti na timu ya ufaransa ambayo hata strikers wanakaba na kutafuta mipira. Yes statistics lazima ziwe tofauti.. lakin mazingira yanatoa different story
Lukaku is better striker than Martial statistics never lie ,kwa misimu 4 iliyopita Lukaku amefunga magoli 93 Martial amefunga magoli 48 timu ya taifa Lukaku amefunga magoli 48 Martial kafunga goli 1
 
Again Lukaku is better striker than Martial

1.jiulize why makocha karibia wote wanampanga Martial winger kushoto na sio namba 9?

Kucheza winger/left/right forward sio sababu ya mchezaji kutofunga magoli mengi Salah,Mane,Mahrez,Sane, Sterling,Sanchez, wanacheza na wanafunga magoli mengi

Uliwahi kumuona Lukaku msimu aliochezea WestBrom Kwa mkopo?
 
Akina salah na mane unawaona wanacheza timu gani? Timu zao zimeimarishwa upande wa kiungo.
Hii united kiungo mbov.. defence mbov..
Mtoa martial mpeleke liverpool.. apate support kwenye timu uone. Lazima afikie magoli yale.

Salah ukimtoa liver mlete united ilivyombov.. upne kama nyota yake itang'ara. It is all down to mifumo ya timu ilivyo.
 

Hii habari ya skills bila bidii naona inaenda sambamba na maestro wetu pogba ambaye watu wengi wanaona asiuzwe,kisa ana skills kubwa lakini work rate yake ni mdogo sana.

Kwa tetesi zinazoendelea kukua kuhusu ujio wa bf na sms,nadhani itakuwa muarobaini sahihi kwenye kiungo chetu hasa kama ambavyo imedhaniwa kuwa ogs anataka kutengeneza timu yenye kucheza kama kitu kimoja kuanzia nyuma.
 

You have a point. But do you remember martial alipokuja man u. He was first choice.. namba tisa matata sana.
The guy he stoped playing baada ya kunyang'anywa jezi. Kupelekwa kwenye wing na nafasi yale akapewa rushford. Shida ikaanzia hapo.

mkuu ukizisoma hizi comment zako kwa umakini utajigundua ya kwamba kwenye huu mjadala wa lukaku na martial upo pande zote mbili za wanaokubali na wanaokataa.
 
Kinachonishangaza hapo epl hakuna timu itakayokuja kuivuka united kwa capacity....
 
Kinachonishangaza hapo epl hakuna timu itakayokuja kuivuka united kwa capacity....
Capacity sio issue Kama uwanja sio mzuri, japo tunajaza uwanja wetu ila kimapato ya uwanja Arsenal tupo sawa ama wanatupita kidogo, nitaangalia vizuri madesa.

Na mkuu hizo ni projects, ni vitu vya long term, Kama miaka 4 ama 5 ijayo tungekuwa na project kubwa yoyote tungeshaona kwenye vyombo vya habari, Ina maana tutabaki "Old" Trafford hivyo hivyo.

Sasa hivi familia ya Glazzer wanachota tu hela ya Man U, last time naangalia wameshachota 1.3 billion kulipa madeni yao, hela ambayo kiasi kikubwa inatokana na mashabiki, wanatumia Hela za timu ku improve Maisha yao badala ya Timu.
 
Ivi hii hali wale manchunian wanaichukuliaje?? Muda mwingine huwa nalikubali sana soka la bongo huyo glazer angekua hapa iyo timu ashaikimbia
 
Kwa mahesabu ya haraka haraka Toka redio kijiweni
Pogba 150+ Lukaku 70 + 100m ya usajili ni 320m
AWB 50, James 15, Maguire 70, bf 70 sms 65,

Kuna Kama 50M hivi wataibakisha kumfurahisha Glazzer.

Sijawahi kuona Mmarekani kuendesha timu kwa hasara, FSG wa Liverpool walimuuza Suarez £75m wakala hela, Wakamuuza Sterling £50m wakala hela, Wakauza kina Alonso, Mascherano, wakala hela.
Wakamuuza Benteke kwa £32m na takataka nyengine wakapata kama £130m ndiyo Wakamnunua VVD £75m.

Huku na huku wakaona Haya baada ya kumuuza Coutinho kwa £145m ndiyo wakasajili Alisson, Keita na Fabinho.

Lakini ukija Overall ya mapato Wanaingiza faida zaidi ya Mara 10 kuliko wanachotoa.

Ni muarabu pekee ndiye anayeweza kuendesha timu kwa kubalance Kinachoingia na kinachotoka.

Muarabu anauza wachezaji (Magarasa) kwa £50m then anasajili wapya kwa £250m. (Angalia Man City na PSG)
Lakini Matajiri wa kimarekani wanauza Wachezaji kwa £150m, then wanasajili wapya kwa £60m.
 
Kweli kabisa unachosema king, wamerekan sio wakuwapa timu kabisa, ndio wanachokifanya hata hapo Arsenal ,

Sasa hivi Liverpool sio kwamba klopp hataki kuspend ila inabid alinde maslahi ya FSG, msimu huu Liverpool imeingiza £250m ila wanataka kufanya hawaspend kumbe wachote faida ,dirisha lipite ,

Mmarekan popote akimilik timu anaangalia faida tu , mpaka apigiwe kelele ndio anatoa hela , kuja kutoa tena mnasahau ...
 
Kwa timu yako hiyo ,subiri tuone ,mimi.siongei sana
Kinachofurahisha mnazidi kuongeza siku mbele mkisubiri tuanguke. Msimu uliopita mlisema hatutaweza tukawashangaza sasa hivi mnasema kwa timu yenu hiyo eti subiri tuone.

Sasa mnataka tusubiri mpaka lini jamani? Tunachoka asee
. Muwe deadline basi
 
Kwa mahesabu ya haraka haraka Toka redio kijiweni
Pogba 150+ Lukaku 70 + 100m ya usajili ni 320m
AWB 50, James 15, Maguire 70, bf 70 sms 65,

Kuna Kama 50M hivi wataibakisha kumfurahisha Glazzer.
SMS ni nani ?
 
Kumuuza lukaku, utakuwa upuuzi wa karne. Huyo dybala italia tu kumemshinda, EPL ataiweza kweli.
Mkuu haya ni matusi. Hivi mchezaji anayekupa magoli 20 au zaidi kwa msimu mmoja unasemaje kashindwa? Dybala Italy hakujamshinda ni basi tu kawa chini ya Ronaldo na kupata playing time finyu. Msimu uliopta tu japo alikua anatokea benchi mara kwa mara kafunga magoli 12.

Juve keshacheza mechi 191 kafunga magoli 81 assist 28. Yaani amehisika kwenye magoli 109. Huyu mtu mpira umemshinda kweli?
 
Safi

Smart guy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…