Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa wamesajili wachezaji wanaoweza kupandikizwa ukichaa wa Diego Simione .

Trieppier sijajua kwanini Tottenham wamemuuza
Spurs tatizo lao Kama Arsenal hawalipi mishahara mikubwa hivyo wachezaji wanakimbia, Trippier alikuwa anapata 50K Atletico wamemuongezea zaidi.
 
Huyu Fenarndez ni disaster uwanjani.
Katika magoli 7 waliyofunga Sporting pre season, Magoli yote either kafunga ama ameassit, sporting hawajafunga Goli bila yeye. Na timu zote kubwa anazocheza Nazo Kama Porto, Liverpool, Benefica, Barcelona etc jamaa anaupiga mwingi Sana, Naona Klop alimshika sikio kidogo, Ngoja aende Liverpool ndio Tutaelewana Vizuri.

Eti Ed Woodward hajaenda pre season sababu yupo Busy na usajili, Pre season inaisha Tupo vile vile, Tmu yetu Ina vituko Sana.
 
Mimi ninachojiuliza ni kwamba Bruno sio priority ya kocha au hela hamna??..

Au tumeridhika na lingard as No 10..


Arsenal wanavunja benki kumchukua pepe kwa £72m sisi £60m kwa fernandez tunaona hapana..

Hii timu hii..anyway tumuache kocha na uongozi ufanye wanavyotaka then next season tena turudie stori zilezile..
 
Woodward ashachoka kufanya kazi man united.
 
Mkuu tetesi nyingi Sana mpaka huelewi ukweli ni upi, Kuna tetesi Toka dirisha lianze tuna 100m za usajili, Kama ni kweli haji mtu mpaka Lukaku aondoke.
 
Lakini leo media nyingi uk zimeripot kwamba agreement tayari imefikiwa kati ya united na slporting lisbon
 
Media gani mkuu??


Maana zishawahi kutoka kama hizo kitambo tu na hamna kitu kilichotokea hadi leo..angalia hata ile ya Maguire
Kitu Cha ajabu even tier 1 Kama De jogo na Marzio wame report transfer za BF na SMS lakini wapi haji mtu.
 
Daah nitamkumbuka lukaku , baada ya Herrera naona tunapoteza mchezaji mwingine na kuacha takataka wakina lingard ..


Kuna muda unapata jazba kwa haya yanayoendelea kwenye team yetu unabaki kucheka tu .
Huyo jamaa hakuwa na utoto pale mbele japp ya makelele kibao ,maana record zinaongea
 
Daah nitamkumbuka lukaku , baada ya Herrera naona tunapoteza mchezaji mwingine na kuacha takataka wakina lingard ..


Kuna muda unapata jazba kwa haya yanayoendelea kwenye team yetu unabaki kucheka tu .
Ole alionesha kutokumkubali toka mwanzo..na kama anadhani Rashford anaweza kufunga goli 25+ kwa msimu basi ajiandae tu kupokea matusi yetu

Hii timu watu wanaopaswa kuondoka hawaondoki ila wale wenye afadhali ndo wanaondoka..Jones,Rojo,Darmian,Lingard hawa si watu wa kukaa hata benchi pale united kwa sasa
 
Hao akina rojo na jones. Wanafungwa hapo na mikataba. Ndio tatizo linaanzia hapo.
Wanashindwa wawaondoe vip. Na hata wakiwaondoa.. replacement zipo?

Hapo sasa ni suala la usajili. Ed ametengeneza mtego ukambana mwenyewe.. sasahiv anashindwa kujinasua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…