Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,079
- 43,571
Wanamuita "The spider"Mkuu gemu zote huwa nacheki, Bissaka bado sana ..ngja tuone hii preseason atafanya nini
Walioangalia mechi Daniel James na Wan-Bissaka vipi??
Nimeipenda hiyo "it appears Ole Gunnar Solskjær will finally get his man"
Not sure
Manchester wameperform vibaya sana defensively hata wakati wakifanya effective defending, ni lazima wamchukue huyu jamaa hata kama dau litapanda zaidi ya hiyo 80$ they got the money. wao wanasema they are man utd.Not sure
Ngoja tuoneManchester wameperform vibaya sana defensively hata wakati wakifanya effective defending, ni lazima wamchukue huyu jamaa hata kama dau litapanda zaidi ya hiyo 80$ they got the money. wao wanasema they are man utd.
Unafuatilia hadi hizi za mazoezi?wakuu mechi inayo fuata ni lini
Ndio mkuuUnafuatilia hadi hizi za mazoezi?
Leeds united on jumatanowakuu mechi inayo fuata ni lini
Kwa hiyo anazidiwa na AzpikikwetaMkuu gemu zote huwa nacheki, Bissaka bado sana ..ngja tuone hii preseason atafanya nini
MAN U kukosa DIRECTOR OF FOOTBALL kuna wagharimu, mtaendelea kupiga mark time siku zote , hivi ukiacha kiwango cha juu cha Maguire katika world cup, ni lini alifikia hata uwezo wa Lewis Dunk wa Brighton,
Mimi nafurahi maana laiti mngekuwa na DOF mzuri, mngeleta majembe kweli kweli , usajiri wenu mnajaza waingereza tu ambao viwango vyao ni amplitude,
Mmeuziwa bisaka kwa 50 mchezaji ambaye amefluke in one season ,
Leo mnauziwa Maguire kwa 80 ,
Hivi mnajua Maguire ni mzito sana , ngoja tuone , mtakavyoshikana mashati na kurudi kusema tatizo ni Edwoodward ,
City wanted Fred
United Signed him
Flopped next season
City wanted Sanchez
United signed him
Flopped next season
City wanted Maguire
United Signed him
Guess