Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huoni hapo dembele atakuwa benchi ?
 
Hapa kuna
1 Messi
2 Suarez
3 Griezman
4 Dembele.
Hawa watu hawawezi kufit kwenye mfumo mmoja lazima mmoja akae bench

Let say Messi awe focal point then hao wacheze kumzunguka yeye

Dembele lazima akae bench na AG acheze akitokea Wing ya kushoto au kulia whatever

Ukimtoa Suarez hapo ambacho ni ngumu sana ndiyo wote watapata nafasi ya kucheza.

Let say messi kapata majeraha (God forbid) hapo utaona Griezman anarudi kwenye position yake amekuwa akicheza Atletico Madrid toka Arda Turan alipoondoka.
 
ndo tuseme chuki au kukata tamaa na hao unaowataka wakiingia na timu ikifungwa lawama utampa nani tena?? kwani mnagombea nini katika hiyo mechi?
 
Yaani ukikaangalia kakikosi ka Man U kuanzia waliopo ndani na Wa benchi ukilinganisha na timu zingine kanatia hadi kichefuchefu
 
Nimepitia page yetu insta naona DJ amesifiwa kuwa angalau kafanya poa first half kuliko wengine wanaoangalia game tupewi maneno.
 
Nimeangalia mechi..nimenote vitu hivi

1.Matic ameisha,anaelekea mwisho..

2.Bado tunahitaji beki wa kati..smalling na jones bado perfomances zao ni mbaya

3.Watoto wa academy wako vizuri; Hapa namzungumzia Gomez,Chong,Greenwood..hawa madpgo wameonesha perfomance nzuri sana

4.Anthony Martial anahitaji kujituma zaidi maana anaonekana ameridhika sana uwanjani..hana njaa ya magoli!!

5.UNITED Inamuhitaji POGBA sanaaaa..baada ya pogba kuingia kipindi cha pili aliweza kubadili mpira na kuchezesha vizuri pia kusukuma mashambulizi..Mtu asiwadanganye jamani POGBA inabidi abaki kwa gharama yoyote ile.

6.Overall performance ya timu bado iko chini..imestruggle sana kupata magoli..i give 75% to today's perfomance.

7.Sina mashaka na Usajili wa DANIEL JAMES na BISSAKA..why!? Kwa sababu wameperform vizur mno..DANIEL JAMES amekuwa Man of the match..hii ni dalili nzuri kwamba recruitment team yetu iko vizuri.

Note;Tunahitaji Midfields wawili na CB mmoja mwenye AKILI na nGuvu.
 
Martial anatakiwa kuongeza bidii mnoo, sio leo wala jana hichi kitu kmeonekana kwa martial.

Greenwood naona aanze kama RW msimu ujao kama tusipopata mtu.

Pogba kiukwel ni mchezaj mzur sana hakuna anaebisha hili nadhan kila mtu anajua, kinachomuangusha ni attitude na mentality yake tu bas, akiamua kua serious na kupambana vilvyo jamaa ni bonge la player kiukwel.

All in all mm sjachek game lakn assesment yako nimeielewa mkuu, japo sjaona comments za DJ na AWB apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…