GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Ole keshakuwa mwanasiasa tu,simuamini tena.Solskjaer on transfers
We are still in the market, we want more deals. We don’t have to sell, but we also don’t have to over-pay. Looking at our squad now, we have a good squad. This squad will have to be more robust once the season gets going. Last season we had a run without defeats, but the end was disappointing.
Halaf OGS anafaaa sana kutoa Faraja msibani..Ana kauli fln hiv mnaeza usahau msiba kabsa!!Ole keshakuwa mwanasiasa tu,simuamini tena.
Nimeanza kumkumbuka jamaa yangu xYz07 kuwa OGS ni "Mr yes sir"
Mkuu ulitaka aseme nini? Ili ulizike.Ole keshakuwa mwanasiasa tu,simuamini tena.
Nimeanza kumkumbuka jamaa yangu xYz07 kuwa OGS ni "Mr yes sir"
Mkuu ulitaka aseme nini? Ili ulizike.
Magazeti ya uingereza yamesema ni replacement ya PaulAccording to Gianluca Di Marzio Man UTd wamewauliza Fiorentina kama wanaweza kumuuza Milenkovic.
Kwa wasiomjua huyu jamaa ni mmoja Kati ya mabeki wenye Roho mbaya Sana Toka Serbia,
Pia Mou Alishamscout sana,
Sema na yeye yupo Comfortable kucheza Kulia,
Umemchanganya na Savic wa Lazio mkuu ambaye ni midfield Design ya Pogba, wote ni Wa Serbia.Magazeti ya uingereza yamesema ni replacement ya Paul
Hawa ni watu tofauti..Magazeti ya uingereza yamesema ni replacement ya Paul
Magazeti ya uingereza yamesema ni replacement ya Paul
Nakubali ni beki katili haswaa.Itapendeza wa compete na bissakaAccording to Gianluca Di Marzio Man UTd wamewauliza Fiorentina kama wanaweza kumuuza Milenkovic.
Kwa wasiomjua huyu jamaa ni mmoja Kati ya mabeki wenye Roho mbaya Sana Toka Serbia,
Pia Mou Alishamscout sana,
Sema na yeye yupo Comfortable kucheza Kulia,
Yani anaecheza beki wa Kati lakini yupo Comfortable kulia, Kama Smalling, Baily, lindelof, Jones etc.Nakubali ni beki katili haswaa.Itapendeza wa compete na bissaka
Naskia Maguire anakaribia kabisa kuwa wetuYani anaecheza beki wa Kati lakini yupo Comfortable kulia, Kama Smalling, Baily, lindelof, Jones etc.
Sisi tunahitaji zaidi beki wa Kati kushoto Kama Maguire maana tuliye Nate ni Rojo pekee.
Timu yoyote inaweza mnunua, kaekwa sokoni, tatizo ni valuation yao, wanataka hela itakayovunja rekodi ya Dunia ya beki Kama vile Van DjikNaskia Maguire anakaribia kabisa kuwa wetu
Magazeti ya uingereza yamesema ni replacement ya Paul
Umemchanganya na Savic wa Lazio mkuu ambaye ni midfield Design ya Pogba, wote ni Wa Serbia.
Hawa ni watu tofauti..
Savic ni wa Lazio
Milinkovic na Milenkovic ni watu wawili Tofauti. Milin anaecheza Lazio Kama midfield na milen anaecheza Fiorentina kama beki, wote ni waserbia.↑↑
↑↑
Kwani huyu Milinkovic-Savic sio ni Mtu mmoja kwwli? He is same person
Milinkovic na Milenkovic ni watu wawili Tofauti. Milin anaecheza Lazio Kama midfield na milen anaecheza Fiorentina kama beki, wote ni waserbia.