Kwenye hoja ya kwanza nipo na wewe 100%, ni ujinga kulazimisha mchezaji abaki na wakati yeye hataki kubaki, japo timu nyingine ni ving'ang'anizi mfano Klop aliwahi kulazimisha Lewandosk abaki pale Dortmund, Bayern wakaja wakamchukua bure
Kwenye suala la pili, ni kwamba ni kweli potential na proven players wamefeli pale United. Swali ni kwamba ni bora usajili mtu kwa £50mil+ halafu a flop au usajili kwa £12mil ili hata aki flop iwe hasara ya kawaida na atafutwe mchezaji mwingine?
Na point yangu ya msingi, United hawana utamaduni wa Galacticos, na tulivyo adopt huo utamaduni mambo ndio yakawa mabaya zaidi, kwanini tusiende back to our roots?
Unapokuwa unatuambia "Your Manager" unakuwa kama unatutukana..as if sisi ndo tuliomuappoint..Your manager
View attachment 1149283
Mkuu sidhani Kama mazoezi anapanga kocha mkuu, timu Kama man U kunakuwa na jopo la zaidi ya watu 10 ambao Kila mmoja ana specialize kwenye kitu chake.Your manager
View attachment 1149283
Nyie ndio mlie msapoti since day one, you were so busy singing Ole's at the wheel when he was beating relegation folders.Unapokuwa unatuambia "Your Manager" unakuwa kama unatutukana..as if sisi ndo tuliomuappoint..
Stop that man
Sioni shida kwenye hiloYour manager
View attachment 1149283
Wewe jamaa unanikumbusha jamaa mmoja humu naye alikuwa hamtaki tu JoseNyie ndio mlie msapoti since day one, you were so busy singing Ole's at the wheel when he was beating relegation folders.
Walisajiliwa wakina Di Maria , falcao waliifanyia nini timu licha ya majina yao Makubwa??simchukii daniel james kwa asili yake alipozaliwa bali ni kwa kiwango chake cha wastani alichonacho kinachongezwa udambwi udambwi na media za kiingereza wakiongozwa na legend ryan giggs, binadamu tunatofautiana sana kiuelewa inawezekana wenzangu mumenizidi mno hivyo basi pengine mtazamo wangu juu ya daniel james ni dhaifu.
kwa mujibu wa situation ilivyo ndani ya manchester united uwezekano wa kusajili winga mpya haupo hivyo basi tunakwenda kumbebesha majukumu mazito huyu bwana mdogo haliyakuwa huko anakotoka hakuwa fundi kama neymar yule wa santos au frank ribery yule wa olympique marseille na uthibitisho wa hilo ni hizo takwimu zake na video zake kwa wale ambao hatujawahi kumuona dakika 90 zinatuonyesha ni mchezaji wa aina gani kwa kutumia macho yetu dhaifu.
kwangu mimi namuona daniel james ni species ile ile iliotuzalishia wright phillips, theo walcott na oxlade chamberlain (wazee wa harakati nyingi kama pimbi). klabu ilipaswa kwanza itafute winga ambaye ameshauthibitishia ulimwengu kiubora ndipo baadae tumtumie daniel james kama ni nyongeza kwenye kikosi kama ilivyo manchester city wanavyomtumia phil foden au liverpool wanavyomtumia shaqiri.
kama daniel james ataniaibisha mbele ya jamii kwa kuonyesha kiwango bora basi tutakuwa tumeramba dume na nitakuja kuomba radhi humu ndani kama nilivyofanya kwa ole gunnar solskjaer, si hivyo tu atakuwa ni mchezaji wa pili kuniaibisha baada ya zoran tosic.
lakini ikiwa kinyume chake tutakuwa tumekula hasara kwa sababu itatulazimu tena kuendelea kumtumia juan mata na jesse lingard upande wa kulia ambao wamekwisha feli kwa muda mrefu na jambo hili sitaki kuliona likitokezea tena.
alichokosea bwana ole ni kumweka daniel james kama ni kipaombele chake cha kwanza kwenye usajili ndio maana si ajabu kumuona bwana ed woodward amemkimbilia huyo kijana kwa sababu ni rahisi kumpata.
ni rahisi sana kulipa paundi millioni 50 kwa mchezaji baadae ukalipa tena paundi millioni 15 kwa mchezaji anayecheza nafasi ile ile.
ni rahisi sana kulipa paundi millioni 15 kwa mchezaji lakini ni vigumu sana kulipa tena paundi millioni 50 kwa mchezaji mwengine anayecheza nafasi ile ile.
===========================================================================================
hivi ni nani anayemdanganya ole gunnar solskjaer kama atapewa muda mrefu wa kujenga timu kwa kutumia wachezaji ambao ni underdog kama alivyo yeye na CV yake ya ukocha?
ni nani aliyemwaminisha bwana ole ya kwamba wachezaji wa kiingereza ndio pekee wenye haki miliki ya kuzipigania timu (wazalendo)?
Katika kipindi cha hiyo miaka nane taja idadi ya mabeki waliosajiriwa ...tatizo letu la kwanza tumekuwa na tabia ya kuwavumilia wachezaji wabovu kwa muda mrefu na hii tabia ilikuwepo tokea zamani na tumeshindwa kuiacha.
mfumo huu umebaki manchester united peke yake, hata hao arsenal kwa sasa wameshaanzisha kampeni ya kusafisha nyumba yao.
- huu ni mwaka wa nane tunaendelea kumtumia phil jones asiye na uwezo wa kumweka nje lenglet wa barcelona, bado tuna matumaini mjinga yule atakuwa kwenye ubora
- huu ni mwaka wa nane tunaendelea kumtumia cris smalling asiye na uwezo wa kumweka nje varane wa real madrid
- tumemvumilia luke shaw kwa takribani miaka mitatu bila ya kutafuta mbadala wake na mpaka muda huu luke shaw ameanza kurudisha thamani yake pia hatujawa na fikra ya kumtafuta mchezaji mwengine atakayemletea changamoto.
- tutaendelea kufanya kazi na jesse lingard mpaka atakapofikisha miaka 50 haijalishi kiwango chake ni kidogo
- tuatendelea kufanya kazi na marcus rashford mpaka atakapotimiza miaka 40 haijalishi kiwango chake ni kidogo
- hata kama itatokezea msimu huu diogo dalot na wan bissaka wakashindwa kuonyesha kiwango kikubwa pia tutaendelea kuwavumilia miaka mengine 30 mpaka wawe na kiwango kikubwa
Tunamtaka bakayoko ??[emoji23][emoji23][emoji23]
Too much siangalii tena mpira ikiwa hivi.
Fred yupo smart sema uchezaji wa timu yetu bado ndiyo unampa changamoto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Bakayoko na Fred wana tofauti gani
Hahahahaha
Hivi jamaa aliitwa brazil copa america??Fred yupo smart sema uchezaji wa timu yetu bado ndiyo unampa changamoto.
Fred kama garasa tuFred yupo smart sema uchezaji wa timu yetu bado ndiyo unampa changamoto.