Wala usijali kaka, nadhan unatujua sie tukianza huwa tunaanzaje.
All in all, exp.yangu inaonesha mech za mwanzo siku zote huwa zinakua ngumu sana, kila team inakaza. Kama ambavyo mech za mwisho zinavokuwa. Wanasema, wat matters is hw u finish it na sio hw you have started.
BTW why asonols fans are so obssed na wachezaj wetu esp RVP? Inahuuuuu?