Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa wewe Bro mtu anaibuka tu from nowhere na kauli ya kukwita Muongo bila ya vielelezo vyovyote, then na wewe unapoteza muda Kumquote?

Mwambie akajifunze maswala ya Fedha kwanza
 
Tetesi ni kwamba Man u hawasajili sababu ya FFP wanasubiri msimu uishe, kuanzia july 1 tegemeeni hela kutumiwa ovyo ovyo.

Madrid wao wanasajili sana kubalance hela waliyopata ya ronaldo kabla msimu haujaisha.

Club ina rumors hii ha ha ha ah
 
Hadi sasa ni Daniel James ndio target pekee iliyofikiwa pale united. Hatuko serious
 
Itakuwa ni fedheha sana kama Pogba atakubali kucheza FUTUHI msimu ujao, yule ni mchezaj wa kiwango cha dunia. Kucheza futuh ni kumwaribia heshima yake.
Atakwepaje kucheza futuhi wakati timu yake iko futuhi!,isitoshe siyo mala yakwanza yeye kucheza futuhi.
 
Sasa wewe Bro mtu anaibuka tu from nowhere na kauli ya kukwita Muongo bila ya vielelezo vyovyote, then na wewe unapoteza muda Kumquote?

Mwambie akajifunze maswala ya Fedha kwanza
Nani kuibuka from no where we kijana!

We umesikia United wakitoa hiyo excuse? Mnakariri analysis za media?
 
Nani kuibuka from no where we kijana!

We umesikia United wakitoa hiyo excuse? Mnakariri analysis za media?
Majamaa wanataka watuaminishe kwenye hewa, hyo issue ingekuwa kikwazo nazani taarifa zingekuwa zishazagaa kitambo....!! Mpak Ed mwenyewe hajasema hlo ni tatzo kwenye usajili...lakn taarifa imetoka bongo inasema taratibu za Usajili za Uefa zimepin down Man u, kuchukua vitasa..😀
 
Tetesi ni kwamba Man u hawasajili sababu ya FFP wanasubiri msimu uishe, kuanzia july 1 tegemeeni hela kutumiwa ovyo ovyo.

Madrid wao wanasajili sana kubalance hela waliyopata ya ronaldo kabla msimu haujaisha.
Kama vile nimekuelewa. Nahisi upo sahihi sana.
 
akitoka pogba sijui lawama timu ikifanya vibaya tutampa nan?

ila m napenda pogba aondoke akashinde makombe mana akibaki utd hata baada ya miaka 5 sion kama atabeba kombe kwa ujinga uliopo ndan ya kikosi kile
Akabebe makombe kwa jitihada kubwa za wenzie au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…