severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Hakunaga hayo wanjali professional zao hao hayo mengine yanabakigi rohoni tuDuuh
Kama huyu dogo ni shabiki wa Darajani hivi hatakuja kupiga unafiki fulani in favour of his beloved Chelsea ?
Hahahahah
Magoli ya Lukaku Belgium mostly ni mepesi sana na ya kawaida sana ambayo Eliud Ambokile hawezi kukosaHii ni roho mbaya ya black human , unaanza kufafanua magoli yalifungwaje na takwimu zake za national team .. At his age ni Top scorer at national team ...
Acha roho mbaya mzee ..
Hao wachezaji thamani zao zipo hivyo toka kitambo sidhani kama brexit ina mchango ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba unapowachukua hupati shida ya mazoezi ya lugha,wanakuwa wameshazoea ligi yao hakuna Ku cope tena, ni wachezaji wasiokuwa na mtazamo Wa kukimbilia ligi zingine wanatukuza sana ligi yao hivyo siyo rahisi sana kurubuniwa na timu za mataifa mengine na pia waingereza wanaocheza hom wanapewa sana kipaumbele ktk kuteliwa ktk timu ya taifa kwa sababu wao wanaamini wana mpira Wa kiingereza.Hapo ndio ninachoka, eti Wan Bissaka anamzidi Concelo
Waingereza bana, ila kinachotajwa kuwapandisha thamani wachezaji wa EPL raia wa kiingereza ni uwezo wa kifedha wa timu hizo (hawana njaa) kutokana na wadhamini waliopo, hivyo hawana presha ya kuuza
Kingine ni Brexit, hii inatajwa kuja kuathiri sana siku za mbele soko la hawa watoto wa Malikia
Ferdinand, Rooney, carrick etc pia walikuwa waingereza ila wakafanya vizuri.Sijui kwa nini pamoja na hayo naona kama watoto Wa dizaini hii hawastahili kuchezea Man U. Tena ukizingatia ni muingereza duu
Hao naona kama walicheza kwenye era nyingine ambapo sasa hivi era yao ni kama haifunction vizuri hivi,manake sahzi ubunifu Mkubwa unahitajika siyo nguvu zaidi pekee.Ferdinand, Rooney, carrick etc pia walikuwa waingereza ila wakafanya vizuri.
Sasa hivi tunakosa tu ile influence na right people wa kutuongoza.
Mkuu hv unajua kufikia striker anafunga goli maana yake amewazidi ujanja mabeki.?.. unaposema magoli mepesi unamaanisha anacheza mwenyewe wala hapewi ulinzi.Magoli ya Lukaku Belgium mostly ni mepesi sana na ya kawaida sana ambayo Eliud Ambokile hawezi kukosa
Mwenye ubunifu ambao huko nyuma haukuwepo ni nani kwa hawa wa sasa?Hao naona kama walicheza kwenye era nyingine ambapo sasa hivi era yao ni kama haifunction vizuri hivi,manake sahzi ubunifu Mkubwa unahitajika siyo nguvu zaidi pekee.
Tofauti kubwa ni kwamba wachezaji Wa sasa hawajitumi kabisa wakati wale Wa nyuma walikuwa na spirit kubwa sana na walikuwa wanatambua thamani ya wao kuvaa badge ya Man U. Hivyo hata wasiovipaji kama kina Jones,smalling n.k walionekana wana uwezo Mkubwa sanaMwenye ubunifu ambao huko nyuma haukuwepo ni nani kwa hawa wa sasa?
Mkuu tukubali tu timu yetu kwa sasa haina mafundi wa kujenga vzr hawa young player kuwa wazuri zaidi huko mbele kama enzi za nyuma.Sijui kwa nini pamoja na hayo naona kama watoto Wa dizaini hii hawastahili kuchezea Man U. Tena ukizingatia ni muingereza duu
Kipaji bila juhudi ni kazi bure mkuu.. na muda mwingine kujituma ndio kunakufanya uonekane ndio uwezo wako.Tofauti kubwa ni kwamba wachezaji Wa sasa hawajitumi kabisa wakati wale Wa nyuma walikuwa na spirit kubwa sana na walikuwa wanatambua thamani ya wao kuvaa badge ya Man U. Hivyo hata wasiovipaji kama kina Jones,smalling n.k walionekana wana uwezo Mkubwa sana
Kabisa mkuu..Ferdinand, Rooney, carrick etc pia walikuwa waingereza ila wakafanya vizuri.
Sasa hivi tunakosa tu ile influence na right people wa kutuongoza.
Ole now tu amechakaa?Manchester Utd haijaingia sokoni kutafuta kocha mpya?
Hivi huyu Ole afanyeje? Manake wachezaji mwanzoni walisema wananyimwa Uhuru Wa kucheza mana washambuliaji wanaambia waweke bus,akina pogba wakasema wanataka attacking football wanataka wakabiwe tu. Alipofika Ole akasema wachezaji waji express yaani kila mmoja ajitume kwa ajili ya timu lakini aonyeshe uwezo wake pia. Mara mambo yakaanza vema kabla hayajabadilika. Sasa hivi Ole afanyeje? Mi siamini kama ole ana shida labda wachezaji wenyewe. Labda anapotafuta wachezaji awe makini apate wachezaji wenye vipaji na uwezo Wa kupigana siyo uwezo Wa kusukumana tu kama ilivyo kwa wachezaji wengi Wa kiingereza ambao huwa overrated tu. Zaha aweza kuwa ni wale wachezaji wanaostahili kuchezea low profile teams ndio wawe bora.Mkuu tukubali tu timu yetu kwa sasa haina mafundi wa kujenga vzr hawa young player kuwa wazuri zaidi huko mbele kama enzi za nyuma.
Unapomkataa BISSAKA wakati unataka kujenga timu upya unamtaka nani?.. Carvajal? Tunaweza kumpata?... Unafikiri DALOT anashindikana kuwa mzuri baadae, au tulitaka apaform kuliko WALKER ndio tumkubali.
Bayern wamemchukua PAVARD lakin nakuapia akitua hata leo MAN U utamkataa utasema bora YOUNG.. Tatizo timu haijui kuwajenga wachezaji ,haina subira kama mashabiki wake tulivyo.. Liverpool kuna waingereza wanapaform vzr tu, Chelsea, City n.k . vp huku kwetu kuna nini?
Hata akija Maguire+Toby bila OLE na timu yake kujenga mfumo mzuri wa uchezaji watakuwa flop vibaya sana.
Hivi huyu Ole afanyeje? Manake wachezaji mwanzoni walisema wananyimwa Uhuru Wa kucheza mana washambuliaji wanaambia waweke bus,akina pogba wakasema wanataka attacking football wanataka wakabiwe tu. Alipofika Ole akasema wachezaji waji express yaani kila mmoja ajitume kwa ajili ya timu lakini aonyeshe uwezo wake pia. Mara mambo yakaanza vema kabla hayajabadilika. Sasa hivi Ole afanyeje? Mi siamini kama ole ana shida labda wachezaji wenyewe. Labda anapotafuta wachezaji awe makini apate wachezaji wenye vipaji na uwezo Wa kupigana siyo uwezo Wa kusukumana tu kama ilivyo kwa wachezaji wengi Wa kiingereza ambao huwa overrated tu. Zaha aweza kuwa ni wale wachezaji wanaostahili kuchezea low profile teams ndio wawe bora.
Walihitaji kuwa free uwanjani bila kuhofia kukosea na style ya basi iliwauzi wengi.. Kulingana na uwezo wa mmojammoja hawakudumu.Hivi huyu Ole afanyeje? Manake wachezaji mwanzoni walisema wananyimwa Uhuru Wa kucheza mana washambuliaji wanaambia waweke bus,akina pogba wakasema wanataka attacking football wanataka wakabiwe tu. Alipofika Ole akasema wachezaji waji express yaani kila mmoja ajitume kwa ajili ya timu lakini aonyeshe uwezo wake pia. Mara mambo yakaanza vema kabla hayajabadilika. Sasa hivi Ole afanyeje? Mi siamini kama ole ana shida labda wachezaji wenyewe. Labda anapotafuta wachezaji awe makini apate wachezaji wenye vipaji na uwezo Wa kupigana siyo uwezo Wa kusukumana tu kama ilivyo kwa wachezaji wengi Wa kiingereza ambao huwa overrated tu. Zaha aweza kuwa ni wale wachezaji wanaostahili kuchezea low profile teams ndio wawe bora.